Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni kweli kabisa kiongozi unachosema japo sporty huwa hawaeleweki kuna muda wanashusha kuna muda wanapandisha. Kama kuna mkeka nnao haujachezwa bado nimeweka 10k kuna time cashout inashuka mpaka elf 4 kuna muda wanairudisha inasoma hiyo hiyo 10k.
 
Nimepitia matreni ya jana yote yamechanwa na option ya over ..0.5 na over 1.5 inaelekea hii option imesha nishindaga😇
 

Attachments

  • Screenshot_20260406-102811_SportyBet.jpg
    64.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260406-102937_SportyBet.jpg
    142.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…