Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimebakisha sh8000 tu ya kuchezea pesa ya kanji ngoja nijaribu treni ..hapa mtu atakaye endelea kufanya edit na kufyatua mikeka ya edit ya odds arobaini arobaini kama 4 hivi, lazima apige pesa 💥😇

5HWHGJ
 

Attachments

  • Screenshot_20260416-084045_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260416-084045_SportyBet.jpg
    69.6 KB · Views: 16
 
Nimebakisha sh8000 tu ya kuchezea pesa ya kanji ngoja nijaribu treni ..hapa mtu atakaye endelea kufanya edit na kufyatua mikeka ya edit ya odds arobaini arobaini kama 4 hivi, lazima apige pesa 💥😇

5HWHGJ
Edit

6TLHTS
 

Attachments

  • Screenshot_20260416-125058_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260416-125058_SportyBet.jpg
    69.4 KB · Views: 13
Mimi naweza liwa wiki 2 mfululizo, na ghafla nikila siposti..!, maana kuna watu wakikuandikia Insha Dm, huchomoi,

na wengine mnaheshimiana mnoo! Code 1 tu huwa inafukia loss zote! Kwenye cashout tu! , nikicashout, 90% mikeka huwa inawin, nikikaza fuvu...manyoya!

Njia nzuri treni likibaki timu 3 ama mbili za mwisho.. zima data na notifications zote! Asubuhi amkia kwa wakala! Ama uamkie kwa akina Majuto!

Mwamuzi ni wewe!
Sure mkuu mkeka wa kimkakati lazima uwepo so una prefer matreni au hata huo unaominya then boom ni odd chache au matreni tu mkuu na tupeane ushauri pia kwenye option nzuri
 
Sure mkuu mkeka wa kimkakati lazima uwepo so una prefer matreni au hata huo unaominya then boom ni odd chache au matreni tu mkuu na tupeane ushauri pia kwenye option nzuri
Code ya Kimkakati lazima iwepo mkuu

Kama ya leo ya Kimkakati chuma ya kwanza tu imechana!

Siku mbaya kazini...ila utashangaa leo europa inawapa wana Michele badae
 
Back
Top Bottom