Hawa NewYork Knicks wamebet sio bure😖😖, yan 4th quarter wanarusha mipira kama wako training ground?? Wamenibania hela nzuri wajinga sanaTego Sportybet....5Y0NKC
Vp leo tunatokajeJitwike msalaba wako mwenyewe na unifuate.(jitubandia)
View attachment 3575877
Kwa nini mkuu...?Ila kuna baadhi ya mikeka ya humu inachekesha sana.
KwaniniIla kuna baadhi ya mikeka ya humu inachekesha sana.
Sasa mtu mkeka anaweka 100 halafu ushinde million 90, huo si utani kabisa.Kwa nini mkuu...?
Mkeka una odds 50000 unategemea nini hapo??.Kwanini
Huwa wanamaanisha ufanye editing wewe mwenyeweMkeka una odds 50000 unategemea nini hapo??.
Kwani wee ukikuta tu mkeka unauchukua na kuubandika moja kwa moja bila ya kuuchambua...?Sasa mtu mkeka anaweka 100 halafu ushinde million 90, huo si utani kabisa.
Hongera kwa kumbamiza Kanji mkuukazi iendelee
Nakubali nakubali muwekezaji...!Wanafosi zifanane, hazifanani na zao!
Code zetu wanazo si hatuzijui za kwao!
Wanaforce market zetu.. zifanane na zao!
35ᵗʰ Floor....Damu itamwagika!
View attachment 3577355