Umeona huko comeback kama kawaida yakeBayern kanifanyia mbaya sikujua kama anapumzisha wachezaji kudadeki zake na Uefa hachukui
yote ya yote kuna wajinga tena wamejitokeza na sikutegemea wameniachaniaUmeona huko comeback kama kawaida yake
Utakufa masikini weweDuuuh yani nina stress balaa odds 100 nilikua nasita kuweka hela ila zimetoa......timu zilikua 3 ila sasa nimeishia tu kuweka 100.
Ilishawahi kunitokea nilichagua timu 3 live zote zipate Goli ilikuwa kuanzia dakika ya 86. Wakati nataka kubeti nikaona odds zimeshuka kidogo Sana, nikasema nisubiri kidogo zifike 100. Hee ghafla nikaona kakufuli mara zimeporomoka Kwa Kasi, Ile nafungua mechi moja moja nikaona moja imeshapata Goli na ndani ya dakika moja zote zikapata magoli na mission ikawa imefeli. Nido Maana nikishazifikiria odds na stake huwa Sina muda Wa kufikiria Zaidi, nalipua tu stake ndogo ambayo haiumi, ama zangu ama zakeDuuuh yani nina stress balaa odds 100 nilikua nasita kuweka hela ila zimetoa......timu zilikua 3 ila sasa nimeishia tu kuweka 100.
Wooon🔥🔥🔥🔥5FHDKX...Sportybet
🔥🔥🔥✌Tutege tena hapa 6E3VPH sportybet