Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa eeh, kuna kitu nimekua nikikiona kwa muda sasa leo ngoja nishee na nyie labda mmekiona pia. Nikishea mikeka humu mara nyingi inachana na nikibet kimya kimya inatoa. Kuna mtu ana experience kama yangu? Hebu shea experience yako kwenye hili. Mfano mdogo leo, usiku nimetega mikeka 4 na yote imetoa na sikua nimeiahea huku
 
Mbona naona unapost code humu na inaboom japo sio yote ila ishu yako ni la imani zaidi maan kuna mkeka wa kimkakati huwa mtu unakuwa na mashaka kushare na wana kwa sababu ya hofu ya kuchanika na vitu kama hivyo .
 
1000107957.jpg
 
Hizi odds kubwa Kwa single huwa zinakubali Kwa stake ndogo tu. Jaribu stake Kubwa uone moto wakeView attachment 3578249
Nimecheka kinoma, juzi nimetafuta game 4 tu nikapata odds 5.25 , nikastake 500 zikatiki zote , market zilikua GG ,over 2.5, next goal, to win corner

Jichanganye uweke 50k uone.

Siku ilopita nimetafuta odds 36 train teams 12 ,nika stake 1k ikatoa 39k

Ila sasa weka hata 5000 tu
 
View attachment 3578629
Kwa majina nilivyoandika ndio hivyohivyo ..wewe search ...
HIZI NI ASILIMIA ZA KUFIKISHA GOLI MBILI YANI OVER 1.5 ... Tutatiki wote weekend halafu tutatoa asilimia ya ufulu wetu... Lakini pia tutaangalia hizo nilizowekea * ..... Pamoja mpaka mhindi akimbie ...
Kaka ukimpga muhindi nunua simu yenye kamera ya maana
 
Jamaa wana set account yako ibetie kiwango fulani cha hela ndio uweze kutoa.. tofaut na makampuni mengine..

Leo nimebet mkeka nikatia 50k kama stake ( mwanzo nilikuwa natia stake ya 5k to 10k ) ile option ya kutoa hela ikarudi (Activated) mwanzo ilikuwa faint kbs.

Then nikaw natoa hela kwa mafungu 5 times, then ule mkeka ikabidi niuuze (Like cancelation ya bet) ikarud kama 40k hivi.. na yenyewe nikaitoa pia. Nikaacha 0 Tzs.

App yao nishaifuta stak hata kuwaskia.
Hivi hizi limitations huwa wanazitoa au ndio sisi hatusomi terms and conditions
 
Mbona naona unapost code humu na inaboom japo sio yote ila ishu yako ni la imani zaidi maan kuna mkeka wa kimkakati huwa mtu unakuwa na mashaka kushare na wana kwa sababu ya hofu ya kuchanika na vitu kama hivyo .
Hakika usemalo lina ukweli ndani yake. Jana nilitega NBA game 2 ya Oklahoma na ya Denver. Aisee huwezi amini niliweka hizo game 2 na kucheza option mbili tofauti tofauti jumla kufanya mikeka minne na yote imetiki japo nilisita sana kushea maana sikua na uhakika nazo sana hizo option nikaona ngoja nijilipue mimi nikipigwa kilio kisiwe cha wengi😁😁,,kilio kikiwa cha wengi halafu unajua kabisa wewe ndo mSababishaji huwa inakatisha tamaa sana, cha kushangaza option zote zilitoa vizuri tu.
 
Ndio iko hivo mkuu vip leo sipati odd 5 mkuu nina shida ile mbaya nataka nitie 100k
 
Back
Top Bottom