Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi hawa 1Xbet ni matapeli au? Hela kuweka ni simple sana.. balaa kwenye kutoa.. nina wiki sasa siwez withdraw hela.. na tyr account inasoma laki 8.
Njia uliyotumia kudeposit ndio utakayotumia kutoa. Kama hiyo njia haipo, deposit Kwa njia yoyote inayoona kwenye kutoa ipo.
Baada ya hapo bet Kwa odds kuanzia 1.10 na kuendelea. Ukishamaliza haipo tuma ule muamala WA kudeposit kwenda email yao inayoanza na security, waambie wakubadilishie payment method unataka kutumia uliyotumia kudeposit mara ya mwisho, watakubadilishia ndani ya Siku 2 tu.

Mimi ilizinguaga hivyo hivyo Kuna Wakala Wa 1xbet alikuwa anajiona Mungu mtu kipindi IPO hot mrusi peke yake, hiyo Wakala akawa anagoma kutoa pesa kama huwa unachanganya Wakala na mobile payment wakati WA kudeposit. Kila nikijaribu kutoa system inani-direct Kwa huyo Wakala.
Yaani Hata nideposit Kwa mobile, wakati WA kutoa inagoma Kwa mobile inanipeleka Kwa Wakala. Nikawa nabeti Bila huruma lakini hela inaogezeka. Baada ya kuwaandikia email wakanielekeza hiyo njia na nikafanikiwa kutoa.
 
Jamaa wana set account yako ibetie kiwango fulani cha hela ndio uweze kutoa.. tofaut na makampuni mengine..

Leo nimebet mkeka nikatia 50k kama stake ( mwanzo nilikuwa natia stake ya 5k to 10k ) ile option ya kutoa hela ikarudi (Activated) mwanzo ilikuwa faint kbs.

Then nikaw natoa hela kwa mafungu 5 times, then ule mkeka ikabidi niuuze (Like cancelation ya bet) ikarud kama 40k hivi.. na yenyewe nikaitoa pia. Nikaacha 0 Tzs.

App yao nishaifuta stak hata kuwaskia.
 
Mnahangaika sana. Kampuni kama Sportybet, betpawa betika na nyingine nyingi hazina huo usenge.
Piga chini kampuni zenye usumbufu.
 
50 Kwa 50
coupon_81043871625_1949587.png
 
Back
Top Bottom