Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkisha anza kuwaza Imani za kishirikina kwenye betting mtaharibu, Mimi Kila siku nachukua code humu na mikeka inachanika Wala siwazi najua nawana pia zimechana ila ipo siku tutatusua.
Kama una code ya kushare weka kama unaona huwezi kuweka Baki nayo bet kimya kimya
 
Tutashea hivyo hivyo mkubwa itiki au ichane mapambano lazima yaendelee
 
Bayern vs PSG :1. Anytime goal scorer - Hary kane, Goal assist -olise, GG 1st &2Nd halves, GG&3+
 
Wakubwa eeh, kuna kitu nimekua nikikiona kwa muda sasa leo ngoja nishee na nyie labda mmekiona pia. Nikishea mikeka humu mara nyingi inachana na nikibet kimya kimya inatoa. Kuna mtu ana experience kama yangu? Hebu shea experience yako kwenye hili. Mfano mdogo leo, usiku nimetega mikeka 4 na yote imetoa na sikua nimeiahea huku
Huu nilipost hum na imebaki hiyo ya mwisho tuone kama itachana.
20260428_221044.png
 
Back
Top Bottom