Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Me nimelikandamiza kama lilivyo nianze ku edit ili iwaje
Unajua dhana ya kuEdit? Na dhana ya positive edit?..una edit ili.kuongeza uwezekano wa kushinda siyo kupunguza uwezekano...mfano mimi nikiipa yanga over 2.5 wewe ukachaza hiyo na unacheza mwingine kwa kufanya positive edit ukaipa yanga over 1.5 maana yake hiyo 1.5 ni positive edit ya 2.5
 
Nimeelewa mkuu lakini kwa Hilo dude acha liende hivyo hivyo
 
EDIT YA KUFA MTU HAPA KANJI LAZIMA ATAPIKE DAMU😇😇😇💥💥💥💥 adriz nipo hapa nasubiri pesa zangu.

5SMV0F
 
Attachments

  • Screenshot_20260515-150511_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260515-150511_SportyBet.jpg
    70.1 KB · Views: 18
EDIT YA MAUAJI ...KANJI AKICHOMOA HII LAZIMA AWE MAUTUTI.😇😇💥💥 huu mkiendelea kuuchakata ni pesa tupu ni mkeka thabiti zaidi kwa wale wa odds ndogo ndogo uvunjeni vunjeni mpate odds sita sita mikeka kama mi 4 hivi kisha tieni vibunda.

5BZQ1W
 
Attachments

  • Screenshot_20260515-160347_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260515-160347_SportyBet.jpg
    71 KB · Views: 16
EDIT YA MAUAJI ...KANJI AKICHOMOA HII LAZIMA AWE MAUTUTI.😇😇💥💥 huu mkiendelea kuuchakata ni pesa tupu ni mkeka thabiti zaidi kwa wale wa odds ndogo ndogo uvunjeni vunjeni mpate odds sita sita mikeka kama mi 4 hivi kisha tieni vibunda.

5BZQ1W
Hili tren Hadi mwezi wa sita mtu kama huna haraka unatoa mzigo wako unatulia
 
EDIT YA MAUAJI ...KANJI AKICHOMOA HII LAZIMA AWE MAUTUTI.😇😇💥💥 huu mkiendelea kuuchakata ni pesa tupu ni mkeka thabiti zaidi kwa wale wa odds ndogo ndogo uvunjeni vunjeni mpate odds sita sita mikeka kama mi 4 hivi kisha tieni vibunda.

5BZQ1W
Nitakua natoa update yake hii SGR maana nili stake kama Ilivyoundwa
 
Back
Top Bottom