Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

EDIT YA MAUAJI ...KANJI AKICHOMOA HII LAZIMA AWE MAUTUTI.😇😇💥💥 huu mkiendelea kuuchakata ni pesa tupu ni mkeka thabiti zaidi kwa wale wa odds ndogo ndogo uvunjeni vunjeni mpate odds sita sita mikeka kama mi 4 hivi kisha tieni vibunda.

5BZQ1W
Hili TREN ilikua lifikie hadi mwezi wa sita lakini kwa uhodari dereva wetu ameamua lifikie leo,
Anyway kazi ni kipimo Cha utu
Kanji matackle yako
 
Jamani Melbet wananikosesha supu asubuhi hii😒, mnatoaje hela huko? mimi nataka kutumia Airtel money.
Nimecheka kama mazuri, pole afsa, ni hivi hiyo melbet nliwakimbia kwa hilo tatizo endelevu. Imewai nitokea hivyo mara nyingi tu, itakaa sawa baada ya hata siku moja 😂, wana machaguo mengi tu lakin shida ni hapo kwenye withdraw 😆
 
Al Nasr msengeee baridi kmmmmk
Screenshot_20260517-111205_1xBet.jpg
 
Back
Top Bottom