Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hili TREN ilikua lifikie hadi mwezi wa sita lakini kwa uhodari dereva wetu ameamua lifikie leo,
Anyway kazi ni kipimo Cha utu
Kanji matackle yako
 
Jamani Melbet wananikosesha supu asubuhi hii😒, mnatoaje hela huko? mimi nataka kutumia Airtel money.
Nimecheka kama mazuri, pole afsa, ni hivi hiyo melbet nliwakimbia kwa hilo tatizo endelevu. Imewai nitokea hivyo mara nyingi tu, itakaa sawa baada ya hata siku moja 😂, wana machaguo mengi tu lakin shida ni hapo kwenye withdraw 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…