Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Al Nasr msengeee baridi kmmmmkView attachment 3589865
Wakuu wakamaria, ligi zimefika mwisho. Sasa hivi imebaki biashara. Timu zinauza mechi na marefa wanabet, hasa huko Italy na Ufarasansa, kama kawaida yao. Kwa mfano, Lyon sio wa kufungwa magoli 4 ugenini. Iko namna.

Ushauri mzuri ni kuachana na hii kamari hadi msimu ujao (mwezi wa 8). Hata World Cup achana nayo. Kama unabet kwa uraibu, basi huo uraibu wako utakufilisi.

Ligi zinazochezwa kihalali kwa sasa ni EPL na ligi ya Spain. Zilizobaki zote ni biashara. Tukutane mwezi wa 8. Kwaheri!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…