Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila anatupuna aisee ukila laki Moja unairudisha na riba ya asimilia 100.
Alafu Kuna watu mikeka yao itatick Kila siku hapo ndio Huwa nashindwa kuelewa
Ukiwa na mtaji wa kueleweka Odds chache zinatoa sana, shida wengi mitaji yetu ni kidogo ndio maana unakuta unaweka odds za kutosha angalau dau linaloeleweka, ila odds chache mara nyingi huwa ni uhakika mkuu.
 
Kuna kipindi niliweka bajeti ya million 1.
Kwa ajili ya odds ndogo ndogo mwisho wa siku ikaisha yote nikaanza upya
 
Ukiwa na mtaji wa kueleweka Odds chache zinatoa sana, shida wengi mitaji yetu ni kidogo ndio maana unakuta unaweka odds za kutosha angalau dau linaloeleweka, ila odds chache mara nyingi huwa ni uhakika mkuu.
Ni sahihi lakini ukumbuke ni bahati nasibu. Niliwahi kuiweka bajeti ya laki moja tu nikajichanganya kumpa mwana jangwani akapita nayo
 
Hiyo laki moja ilipaswa uifanye kama mtaji, na siyo kuistake yote kwenye game moja, kwa odds ndogo, kama 2-3, unapaswa kustake asilimia 5-10 tu ya mtaji wako, hata kama utapoteza unakuwa na nafasi ya kujipanga upya.

Kiufupi ukienda na hiyo njia ya kustake kwa kuzingatia kulinda mtaji wako, betting utaiona ni rahisi sana na haitokupa presha, hata kama utakutana na vipigo, lakini itakuwa ni mara chache sana, unless others wise uwe haujui kabisa kubeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…