Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siyo kweli ni wahuni nimewauliza sportbety kama nina account zaidi ya moja wanashindwa kuniambia jibu ...kama ni kosa kwa nini nikiomba msaada wani akikie account, wanashindwa wanadai awawezi kujua kama nina account 2 kwa nini wasitumie system zao wakati wa usajili kuzuia mtu kuwa na account mbili ? Kwa nini wakati wa kujisajili kama unayo tayari account system isikuambie kuwa tayari unayo account hivyo hatuwezi kukusajili tena ?
Nimewauliza swali lingine je kama nina account ambazo nimezisahau na nataka kuweka mambo sawa kuzifuta nibaki na moja natakiwa kufanyeje ? Wamekosa jibu ....maana yake wewe mchejaji ukiwa una account ambazo umezisahau maana yake awana msaada wowote bali ni wewe kuacha kubetia hiyo kampuni !
 
Ila ikitokea umeshinda hela ndefu wana uwezo wa kujua kama una akaunti zaidi ya moja, #MatakoYao
 
Ila ikitokea umeshinda hela ndefu wana uwezo wa kujua kama una akaunti zaidi ya moja, #MatakoYao
Washenzi sana....na serikali zinao uwezo wa kuweka kanuni sahihi kwa haya makampuni ila wamekaa tu kama malofa...
 
Africa ya kusini inapata bao moja hivyo over 0.5 siyo mbaya odds ni 2+
Kwa hii mechi ya jana ..afrika Kusini kukosa hata bao moja ni dalili kuwa team zote za africa hakuna hata moja itakayo shinda mechi hata moja na kama ipo basi ni mechi moja au mbili tu. hivyo hapo bet inatakiwa kuzipa team za kigeni ushindi au kuzipa team za africa handicap ya bao 3 hadi 4 mkononi ..team karibu zote za africa zitapigwa bao siyo chini ya mbili hivyo over 1.5 ni option nzuri au team zisizo za africa win ... team za africa hata kuambulia draw itakuwa ni bahati sana.
 
126 odds - MFT1ZS

126 odds - ZC318Z

115 odds - X4722J

112 odds - QYXC6L

103 odds - KTWWCM

91 odds - W6L3KC

All t he best
Edit urself
 
Huu umeboreshwa tieni vibunda huko stable sana💥💥💥💥💥

5TLGL3
 

Attachments

  • Screenshot_20260612-134711_SportyBet.jpg
    70.2 KB · Views: 19
Naombeni mnisaidie hapa kuhusu Waziri wa Fedha kuagiza makato ya 5%kwenye betting.Mimi ninachjua kodi nadhani ilikuwa 15% sasa hii imekaaje kwamba kodi imepanda au imeshuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…