Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushauri wangu, kama wanatoa code na timu zote zinachanika basi weka vice versa and then boom 💥
Vice versa sasa option ya labda congo win vice versa yake inakua ni ipi sasa draw au portugal win???unaongea vitu ambavyo hata haviwezekani wengine tuwe watazamaji tu sio kila mtu lazima atoe codes.
 
Safi jibu Zuri

Hii ni KAMARI,sasa mtu anafikiria NDIO sehem ya kutoka kimaisha

Ni mchezo wa kubahatisha,sasa mtu anataka sure ODDS sasa nani anacheza Mechi hapa🤣🤣🤣,ukila kimyaaa ukiliwa mbiooo kulalamika

KAMARI ukiwa na stresses zako sio salama

Ukiona unachanika weka wako,kwani Team si unazijua
Ingekuwa Rahisi hivyo hata hao anaowataja wasingekimbia

Anafikiria Betting lelemama
 
Kwenye betting hakuna uhakika wa kushinda mkeka wako.
Usimlaumu mtu yeyote suka mkeka wako mwenyewe.
Umesema watu wanatuma code timu zote zinachanika, Sasa si uchukue hizo timu uweke machagua tofauti na waliyokupa jamaa?
 
Asituchoshe , tunaendelea

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 7

CODE: 5TWWK6

Tuonane Usiku

Screenshot_20260618-101838.png
 
Safi jibu Zuri

Hii ni KAMARI,sasa mtu anafikiria NDIO sehem ya kutoka kimaisha

Ni mchezo wa kubahatisha,sasa mtu anataka sure ODDS sasa nani anacheza Mechi hapa🤣🤣🤣,ukila kimyaaa ukiliwa mbiooo kulalamika

KAMARI ukiwa na stresses zako sio salama

Ukiona unachanika weka wako,kwani Team si unazijua
Ingekuwa Rahisi hivyo hata hao anaowataja wasingekimbia

Anafikiria Betting lelemama
Sasa ndio ukosee timu zote???watu huwaga wanachana ila sio timu zote kama upuuzi wako ule wa jana.
 
Kwenye betting hakuna uhakika wa kushinda mkeka wako.
Usimlaumu mtu yeyote suka mkeka wako mwenyewe.
Umesema watu wanatuma code timu zote zinachanika, Sasa si uchukue hizo timu uweke machagua tofauti na waliyokupa jamaa?
Wewe dogo sijui huelewi wapi??sio kila option ni 2 way kuna nyingine ni 3 au 4 ways yani unaweza kuweka opposite na ukakosea mfano man city win kama timu zitatoa draw hata ukiweka mancity lose umekosea.
 
Sasa ndio ukosee timu zote???watu huwaga wanachana ila sio timu zote kama upuuzi wako ule wa jana.
Ukiona mtu anapost screenshot ya mkeka wa "example bet" achana nao huo mkeka hata yeye mwenyewe hajaulipia. Ila ukiona mtu amepost mkeka ameulipia "unaiona stake na potential win" huo unaweza ukaenda nao.

Iweje urisk hela Yako kwenye mkeka ambao mtengenezaji hajarisk hela yake!!??
 
Kweli kabisa maana unaweza kupigishwa mzinga kama niliokula jana.
 
50 odds
A d 👌
👍 😍 🥰 ☺️
 
Attachments

  • IMG_20260618_140428_127.jpg
    IMG_20260618_140428_127.jpg
    39.6 KB · Views: 13
FT x
 
Attachments

  • IMG_20260618_140524_448.jpg
    IMG_20260618_140524_448.jpg
    51 KB · Views: 13
Gg
Mxb
 
Attachments

  • IMG_20260618_140639_091.jpg
    IMG_20260618_140639_091.jpg
    13.4 KB · Views: 16
Home FT
 
Attachments

  • IMG_20260618_140811_055.jpg
    IMG_20260618_140811_055.jpg
    16.7 KB · Views: 13
Back
Top Bottom