Sawa mkuu, wote wanaoweka code humu ni mawakala wa kanji, wewe ambaye siyo wakala wa kanji tunaomba code Yako tumfilsi kanjiWewe dogo sijui huelewi wapi??sio kila option ni 2 way kuna nyingine ni 3 au 4 ways yani unaweza kuweka opposite na ukakosea mfano man city win kama timu zitatoa draw hata ukiweka mancity lose umekosea.
Namjibu huyo jamaa hapo mkuu siyo wewe. Jamaa kasema watu wanaoweka code humu ni mawakala wa kanji, Sasa namjibu yeye ambaye siyo wakala wa kanji alete mkeka wake hapa watu tumfilisi kanjibahiKumbe ulikuwa unakusudia.mie
Ile ni Bet Builder set up,sasa sijui ulitegemea nini
Ingetiki usinge comments kitu ungebunda kimyaaaa,ila imechana unarusha mawe