Ushauri wangu, kama wanatoa code na timu zote zinachanika basi weka vice versa and then boom π₯Oyy mbona watu wenye madini mnakimbia jukwaa kina kidi kudi na wengine halafu jukwaa mnawaachia mapoyoyo na mawakala wa kanji yani mtu anatoa code timu zote zinachanika haitiki hata moja.
Vice versa sasa option ya labda congo win vice versa yake inakua ni ipi sasa draw au portugal win???unaongea vitu ambavyo hata haviwezekani wengine tuwe watazamaji tu sio kila mtu lazima atoe codes.Ushauri wangu, kama wanatoa code na timu zote zinachanika basi weka vice versa and then boom π₯
Safi jibu ZuriUshauri wangu, kama wanatoa code na timu zote zinachanika basi weka vice versa and then boom π₯
Kwenye betting hakuna uhakika wa kushinda mkeka wako.Vice versa sasa option ya labda congo win vice versa yake inakua ni ipi sasa draw au portugal win???unaongea vitu ambavyo hata haviwezekani wengine tuwe watazamaji tu sio kila mtu lazima atoe codes.
Sasa ndio ukosee timu zote???watu huwaga wanachana ila sio timu zote kama upuuzi wako ule wa jana.Safi jibu Zuri
Hii ni KAMARI,sasa mtu anafikiria NDIO sehem ya kutoka kimaisha
Ni mchezo wa kubahatisha,sasa mtu anataka sure ODDS sasa nani anacheza Mechi hapaπ€£π€£π€£,ukila kimyaaa ukiliwa mbiooo kulalamika
KAMARI ukiwa na stresses zako sio salama
Ukiona unachanika weka wako,kwani Team si unazijua
Ingekuwa Rahisi hivyo hata hao anaowataja wasingekimbia
Anafikiria Betting lelemama
Wewe dogo sijui huelewi wapi??sio kila option ni 2 way kuna nyingine ni 3 au 4 ways yani unaweza kuweka opposite na ukakosea mfano man city win kama timu zitatoa draw hata ukiweka mancity lose umekosea.Kwenye betting hakuna uhakika wa kushinda mkeka wako.
Usimlaumu mtu yeyote suka mkeka wako mwenyewe.
Umesema watu wanatuma code timu zote zinachanika, Sasa si uchukue hizo timu uweke machagua tofauti na waliyokupa jamaa?
Ukiona mtu anapost screenshot ya mkeka wa "example bet" achana nao huo mkeka hata yeye mwenyewe hajaulipia. Ila ukiona mtu amepost mkeka ameulipia "unaiona stake na potential win" huo unaweza ukaenda nao.Sasa ndio ukosee timu zote???watu huwaga wanachana ila sio timu zote kama upuuzi wako ule wa jana.
Kweli kabisa maana unaweza kupigishwa mzinga kama niliokula jana.Ukiona mtu anapost screenshot ya mkeka wa "example bet" achana nao huo mkeka hata yeye mwenyewe hajaulipia. Ila ukiona mtu amepost mkeka ameulipia "unaiona stake na potential win" huo unaweza ukaenda nao.
Iweje urisk hela Yako kwenye mkeka ambao mtengenezaji hajarisk hela yake!!??
Nitaanza kua makini maana sio kwa code niliyochukua jana yani timu zote zilichana haijatiki hata timu moja.Kuwa makini na code za humu.
6CR8GV....SB
117 odds - LW1UR7WALIOFWATA
ODDS 112
IMETIK
π π π π₯³ π π π π₯³ π π