Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unaweza kuzani labda kanji kaingilia kati kumbe ndio mchezo. Jana niliacha cash out 98,000 asubuhi naamka nakuta team Moja imechaka.
Nikaanza kucheza
Oyaa yaani sometimes unaweza cashout halafu ikatiki, unasema ukaze pumbu inachanika

LEo .morn cashout ilisoma parefu tofauti ya buku 8.
Nikasema ahaa dk ya 95 hii ngoja niache tu.
Saa ngapi iran asichane
 

Attachments

  • Screenshot_20260627_091215_1xBet-tz.jpg
    146.8 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…