Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupe data izo mzee nikipata daily odds hata 1.50 naweza nikawa natia laki kila siku
Hili uhakika kwa nyie wawekezaji
Linatoa sana,sema mimi nafukuzia 200M.

Chimbo lenyewe la
Half with most corner na time period with no corner.
The same na offiside hivyo hivyo.
Hili mrusi kajisahau anatoa oda nyingi sanaa
 
NAtaka.kutoboa siri 1 hapa
Kuna # nimelipata la ku boom chap.
NIlianza kufuatilia tangu week iliyopita leo nime confirm ni la uhakika 100%.

Chimbo la no goal na chimbo la handcap la basketball
Oyaa hili uhakika wadau

Unachofanya kama unatumia spotbet
Kwenye opt ya baskeball live tafuta kitufe cha handcap kule unakuta team imepewa cape ya 50 hadi 60.
Sasa fata zile zenye cap wape ushindi na kanji anatoa odd 1.7 hadi 2.

Kwenye no goal
Unachopaswa kufanya kwenye.live game select kitufe cha next goal piga none ila.kuanzia dk ya 78 odd ni 2
Ikifka dk ya 80 odd ni 1.7
Dk ya 85 odd anatoa 1.3
Dk 89 odd anatoa 1.2
 
Tuwe tunapeana mbinu wakuu.
Hii opt ya baskeball kumfata mtu na cap ya 50 au 38+ aiseeh ni fantastic sanaaa.
Na hiyo ya no goal kuanzia dk ya 50 odd zinafika hadi 10
 

Attachments

  • Screenshot_20260627_171026_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_171026_SportyBet.jpg
    135.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260627_180247_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_180247_SportyBet.jpg
    172.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20260627_180228_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_180228_SportyBet.jpg
    125 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260627_180202_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_180202_SportyBet.jpg
    170.3 KB · Views: 10
Kama unakuza mtaji.
Chukua match 5. Kuanzia dk ya 55 weka non goal ikifika dk ya 75 au 68 cash out. Hii opt inakupa hela mara 3 ya uliyoweka mwanzo.
Hapo kama ningeweka elfu 10 cashout ingesoma elfu 20 na ni team chache sana.

Sema inahitaji kuujua mpira.
Ni kama unazuia goal kwa muda.

Kama hutaki hofu basi anza bet dk ya 85 stake high odd 8 match 6 sikilizia dk 10 kusiwe na goal
 

Attachments

  • Screenshot_20260627_182533_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_182533_SportyBet.jpg
    128.8 KB · Views: 10
Team 4 odd 5

Hii opt nishairasimisha inafaha kwa matumizi kama ile ya 3 streak.
 

Attachments

  • Screenshot_20260627_182954_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_182954_SportyBet.jpg
    157.5 KB · Views: 9
Hii opt inafaha sana kwenye world cup.
Unaanza zuia goal dk ya 87 odd 1.7 match za world cup 2 sawa na odd 3 hapo.

Kama.mtu anaweka no goal 5min au 10min au dk 15 za kwanza kwann hii isitoe?
 
Hili uhakika kwa nyie wawekezaji
Linatoa sana,sema mimi nafukuzia 200M.

Chimbo lenyewe la
Half with most corner na time period with no corner.
The same na offiside hivyo hivyo.
Hili mrusi kajisahau anatoa oda nyingi sanaa
Mrusi yuko pw sana shida unapotea sana kilingeni
 
Leta code bas ya mrusi hela bet kwa option ulizo sema tuweke pesa ya kuamka nayo asubui
 
Hii ni basketball unq select cap hapo
Hiyo nyingine next goal.mpira wa.miguu una select non kusiwe na goli tena kama unataka goal basi una select kwa unayetaka apate goli
 

Attachments

  • Screenshot_20260627_185554_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_185554_SportyBet.jpg
    147.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20260627_185521_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260627_185521_SportyBet.jpg
    167.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom