Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

South hata DC, whatsapp channel ya nani Ina consistency nzuri ya ushindi?
Wengi wawekezaji odd 1.7 zikizidi sana 2.5
Mtu anatoq mkeka anasema treni lina mechi 7 halafu odds 3 au 4.
Wasap channel nyingi ni kwa ajili ya wawekezaji.

Sisi wengine tuna consistency ya kupiga 132M tunasaka odds 100K+ dailry na team 2 au 5 zina cut off.
So,kama unqtaka odds za kiuwekezaji best channels kwangu naona shafii anajitahidi sana compare na wengineo.
 
Ili kuwa profitable kwenye hii kazi ni lazima tuwe wawekezaji tu hamna namna, weka hapa link ya Whatsapp channel yake.
 
Kwenye pita pita zangu nahisi X nikakutaga link nika join kwahiyo sina uelewa kuhusu link yake naipataje, ila kama unaweza search hizo ndo channel zake.
Anajitahidi kiasi.
Yule jamaa wa sport arena nadhani shafii daud
 
Attachments

  • Screenshot_20260629_095513_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20260629_095513_WhatsAppBusiness.jpg
    161.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260629_095501_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20260629_095501_WhatsAppBusiness.jpg
    149.7 KB · Views: 12
Kwenye pita pita zangu nahisi X nikakutaga link nika join kwahiyo sina uelewa kuhusu link yake naipataje, ila kama unaweza search hizo ndo channel zake.
Anajitahidi kiasi.
Yule jamaa wa sport arena nadhani shafii daud
Hiyo picha ya pili ni channel ya Telegram au Whatsapp mdau...?
 
Zile ni hela zetu walizokula pumbav wale, ukiwala hawakupi gift, usipodeposit wiki nzima hawakupi pia.
Ndio hivyo kiongozi angalau wao wanakuonea huruma kukupoza machungu ili uendelee na saari ya uwekezaji kuliko makampuni mengine wakikukula wanakuacha uteseke...!
 
Back
Top Bottom