Huwa anatoaga kila siku.
Uzuri wa group lake lina watu wachache halafu hao wachache hawataki wwngi wajue ni chimbo lankimya kimya.
Jamaa huwa namkubali sehemu 2.
1)huwa anatoa mkeka wa give away yaani huo mkeka ni special kwa wana group. Ni dairly
So uki boom anatoa hela kwa kila mtu kama utachanika basi tena.
2)Kila muda wa msosi anatoa code ya pesa ya kula
🤣, yeye morn anatoa mikeka 3 ya supu ana upepo maana kwenye hiyo mi 3 lazima 1 au hata 2 i boom. (Japo odds zake za mbuzi ni odds 2)
Ikifika mchana anatoa mkeka wa lunch
Ikifka jioni anatoa mkeka wa dinner.
Nisiwe muongo niliiga huo mfumo natembea nao hadi leo morn nafyatua mkeka wa supu, mchana na usiku hivyo hivyo.
Dah, kuna watu mafala kweli aisee anapoteza muda wake kisa code niliyoweka, sijakutana na huo uzi bado mkuu...!Pamoja mkuu, nimechukua slip zako 2 hapo juu 6B0AMQ na 5KQU2E ziko poa, ila hii 6NHXQA hapana aisee tutamchangia kanji tu hapo, umetembea na vibonde watupu mpaka kuna fala amefungua Uzi anaiponda betting kwa reference ya hiyo code Yako. Ila huyo fala ajue yote yanawezekana kwenye betting. Hapo Instagram Kuna jamaa amepiga milioni 100 kwa stake ya elf 10 juzi tu. Kwa wengine ni swala la muda tu.
Mbona juu pale, nimeweka.link yake angalia sms za juu utaona kuna linkTunaingiaje kwenye group lake mkuu
sheremayaFollow the BET KAMA DIGALA 🔞 channel on WhatsApp: BET KAMA DIGALA 🔞
Ya 2 hii hapa
Follow the PUNTER KING channel on WhatsApp: PUNTER KING
SIngle mechi odds 5.Hayo ndo mambo dondosha kaka option izo kaka tuweke hela
Mkuu angalia hapa naona kama tukituliza kichwa pesa ipo aseehHayo ndo mambo dondosha kaka option izo kaka tuweke hela
Yaa nimeona kwa tuchague corner kuanzia minutes ya intervo gani sasa hapoMkuu angalia hapa naona kama tukituliza kichwa pesa ipo aseeh
Special kwa wawekezaji
Hapo naona pana kitu
Mpira wa japan wa kasi.Yaa nimeona kwa tuchague corner kuanzia minutes ya intervo gani sasa hapo
Huo Uzi ni wa leo upo hapo jukwaa la sports, shuka chini mtafute huyo chizi Red Black. Yan huyo jamaa anajifanya habet ila anaingia Uzi wa mikeka kufanya nini, si uongo huo!!Dah, kuna watu mafala kweli aisee anapoteza muda wake kisa code niliyoweka, sijakutana na huo uzi bado mkuu...!
Nakuonea huruma dogo, achana kabisa na shiaffii dauda A.k.A bet kama digala...na huyo shogaake....Follow the BET KAMA DIGALA 🔞 channel on WhatsApp: BET KAMA DIGALA 🔞
Ya 2 hii hapa
Follow the PUNTER KING channel on WhatsApp: PUNTER KING
Yaani ligi ya Norway kaweka under 0.5 😆 digala 🔥Nakuonea huruma dogo, achana kabisa na shiaffii dauda A.k.A bet kama digala...na huyo shogaake....
Shafii anabet na demo account, utapoteza wewe ukifata mikeka yake!, unaliwa! Yeye analipwa commission!...
kuna day nilifuatilia page yake watsapp siku 2 mikeka zaidi 23..stake ndogo 500,000 ikaonekana milion 48 kwa siku 2 amepoteza!
Kwa akili ya kawaida tu haiingii akilini...! Kulingana na zile option nilizokuwa naziona!
Code yake moja niliiona kwa group...Stake milion 2 anastake mechi ligi ya Iran over 2.5 &GG yes!
Na nyingine kaweka mil 3 kastake under 0.5 game ya Bodoe glimt na Molde...TANGU SIKU HIYO NILIBLOCK PAGE YAKE!
Akitoa mkeka wa mechi 5 let say odd3-5 ukiwa na jicho la mwewe ...utagundua kuna mechi moja kenge kawekwa aatamie mayai ya mamba!
Stuka mkuu! Ni ushauri tu...TEKITOLIVITI!
Timu za uhakika zinakuwa na odds ndogoKubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...