Hahahaa unafyatua tu 😂Huwa anatoaga kila siku.
Uzuri wa group lake lina watu wachache halafu hao wachache hawataki wwngi wajue ni chimbo lankimya kimya.
Jamaa huwa namkubali sehemu 2.
1)huwa anatoa mkeka wa give away yaani huo mkeka ni special kwa wana group. Ni dairly
So uki boom anatoa hela kwa kila mtu kama utachanika basi tena.
2)Kila muda wa msosi anatoa code ya pesa ya kula
🤣, yeye morn anatoa mikeka 3 ya supu ana upepo maana kwenye hiyo mi 3 lazima 1 au hata 2 i boom. (Japo odds zake za mbuzi ni odds 2)
Ikifika mchana anatoa mkeka wa lunch
Ikifka jioni anatoa mkeka wa dinner.
Nisiwe muongo niliiga huo mfumo natembea nao hadi leo morn nafyatua mkeka wa supu, mchana na usiku hivyo hivyo.
Mzee umepotea kilingeni hapa longtimeNakuonea huruma dogo, achana kabisa na shiaffii dauda A.k.A bet kama digala...na huyo shogaake....
Shafii anabet na demo account, utapoteza wewe ukifata mikeka yake!, unaliwa! Yeye analipwa commission!...
kuna day nilifuatilia page yake watsapp siku 2 mikeka zaidi 23..stake ndogo 500,000 ikaonekana milion 48 kwa siku 2 amepoteza!
Kwa akili ya kawaida tu haiingii akilini...! Kulingana na zile option nilizokuwa naziona!
Code yake moja niliiona kwa group...Stake milion 2 anastake mechi ligi ya Iran over 2.5 &GG yes!
Na nyingine kaweka mil 3 kastake under 0.5 game ya Bodoe glimt na Molde...TANGU SIKU HIYO NILIBLOCK PAGE YAKE!
Akitoa mkeka wa mechi 5 let say odd3-5 ukiwa na jicho la mwewe ...utagundua kuna mechi moja kenge kawekwa aatamie mayai ya mamba!
Stuka mkuu! Ni ushauri tu...TEKITOLIVITI!
Vp tukimpa Brazil aqulify hatua hii yani apite vp japan anaweza mtoa brazilHatua ya mtoano best pick n kubetia matukio tu.
Directly win changamoto
Nj kwasababu hakuna voice notes.Nakuonea huruma dogo, achana kabisa na shiaffii dauda A.k.A bet kama digala...na huyo shogaake....
Shafii anabet na demo account, utapoteza wewe ukifata mikeka yake!, unaliwa! Yeye analipwa commission!...
kuna day nilifuatilia page yake watsapp siku 2 mikeka zaidi 23..stake ndogo 500,000 ikaonekana milion 48 kwa siku 2 amepoteza!
Kwa akili ya kawaida tu haiingii akilini...! Kulingana na zile option nilizokuwa naziona!
Code yake moja niliiona kwa group...Stake milion 2 anastake mechi ligi ya Iran over 2.5 &GG yes!
Na nyingine kaweka mil 3 kastake under 0.5 game ya Bodoe glimt na Molde...TANGU SIKU HIYO NILIBLOCK PAGE YAKE!
Akitoa mkeka wa mechi 5 let say odd3-5 ukiwa na jicho la mwewe ...utagundua kuna mechi moja kenge kawekwa aatamie mayai ya mamba!
Stuka mkuu! Ni ushauri tu...TEKITOLIVITI!
Mmh japan ana moto japo brasil yupp vyedii bora ubetie events hii hatuaVp tukimpa Brazil aqulify hatua hii yani apite vp japan anaweza mtoa brazil
Ngoja nijaribuGame ya Morocco
VAR To Be Used….. Yes. Odd 2.73
Kwa ushauri tu...mechi ya 🇧🇷Vp tukimpa Brazil aqulify hatua hii yani apite vp japan anaweza mtoa brazil
Mpira ni mchezo katili anything can happens……,,,LAKINI Brazil anasifa zote za KUSHINDA hii game kwa asilimia kubwa sanaVp tukimpa Brazil aqulify hatua hii yani apite vp japan anaweza mtoa brazil
Mzee umepotea kilingeni hapa longtime