Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Race corner natembea na japan tu.
Kapewa odd nyingi .
Kanuni ya bwtting n bett against odds
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_211246_Helabet.jpg
    Screenshot_20260629_211246_Helabet.jpg
    177.2 KB · Views: 10
Race to offside
Lazima offside 2 zipatikane la kufanya.
Japan mpe odd 30
Brasil odd 3.5

Mwenye odd 3.5 una stake high afu mwenye odd 30 una stake normal
Hapo uhakika ws faida unao.

Kulinda mtaji offside total una pick
Under 2.5
Pana odd 3. Ina maana kama off hazitafka 3 basi pesa yako itarudi kwenye hiz odd uta balance hasara.
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_211919_Helabet.jpg
    Screenshot_20260629_211919_Helabet.jpg
    146.6 KB · Views: 13
Kama kukiwa na kona ya 5 kutoka kwa japan odd 13 na kama ikitoka kwa brasil odd 2.3

Unachopaswa fanya
Kona ya 5 lazim ipatikane maana ndo kwqnza dk ya 56.

Japan stake elfu 10 unapata 130K
Brasil stake 50K unapata 100K
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_212222_Helabet.jpg
    Screenshot_20260629_212222_Helabet.jpg
    169.1 KB · Views: 12
Kama kukiwa na kona ya 5 kutoka kwa japan odd 13 na kama ikitoka kwa brasil odd 2.3

Unachopaswa fanya
Kona ya 5 lazim ipatikane maana ndo kwqnza dk ya 56.

Japan stake elfu 10 unapata 130K
Brasil stake 50K unapata 100K
Uki stakr 50K kwa brasil faida elfu 40
Uki stake 10K kwq japan faida 50K
 
Odd zimepanda hii mechi kona 7 zinafika.
Nimeenda hadi kona 7 kwa ku stake elfu 10,10
Nasikiliza milioo
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_212951_Helabet.jpg
    Screenshot_20260629_212951_Helabet.jpg
    168.6 KB · Views: 14
😂wawe seriously na pesa zetu asee nimetia jumla 40K
Kona 5
Na kona 7
Haiwezekani washindwe toa kona asee
 
Kama uliweka rac kona.
Japan katoa odd 3 kafika kona ya 5.

Sasa nasikilizia kona 7
 
Brasil odd 3.
Wakaze watoe kona 7 daah
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_215239_Helabet.jpg
    Screenshot_20260629_215239_Helabet.jpg
    161.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom