Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260629-135623.jpg


Mzigo huo unaanza leo mpaka tarehe 23 August. ATB...! 🙏🏾
 
ADU.xm:
FULL-TIME
AWAY WINS

Stake High 🤑
 

Attachments

  • IMG_20260629_145829_746.jpg
    IMG_20260629_145829_746.jpg
    22 KB · Views: 14
Ndio hivyo kiongozi angalau wao wanakuonea huruma kukupoza machungu ili uendelee na saari ya uwekezaji kuliko makampuni mengine wakikukula wanakuacha uteseke...!
Pamoja mkuu, nimechukua slip zako 2 hapo juu 6B0AMQ na 5KQU2E ziko poa, ila hii 6NHXQA hapana aisee tutamchangia kanji tu hapo, umetembea na vibonde watupu mpaka kuna fala amefungua Uzi anaiponda betting kwa reference ya hiyo code Yako. Ila huyo fala ajue yote yanawezekana kwenye betting. Hapo Instagram Kuna jamaa amepiga milioni 100 kwa stake ya elf 10 juzi tu. Kwa wengine ni swala la muda tu.
 
Hapo safi, kwa punter king hapo nimekutana na bahati ya give away ya elf 13.
Huwa anatoaga kila siku.
Uzuri wa group lake lina watu wachache halafu hao wachache hawataki wwngi wajue ni chimbo lankimya kimya.

Jamaa huwa namkubali sehemu 2.

1)huwa anatoa mkeka wa give away yaani huo mkeka ni special kwa wana group. Ni dairly
So uki boom anatoa hela kwa kila mtu kama utachanika basi tena.

2)Kila muda wa msosi anatoa code ya pesa ya kula
🤣, yeye morn anatoa mikeka 3 ya supu ana upepo maana kwenye hiyo mi 3 lazima 1 au hata 2 i boom. (Japo odds zake za mbuzi ni odds 2)
Ikifika mchana anatoa mkeka wa lunch
Ikifka jioni anatoa mkeka wa dinner.
Nisiwe muongo niliiga huo mfumo natembea nao hadi leo morn nafyatua mkeka wa supu, mchana na usiku hivyo hivyo.
 
Mimi wananipaga za kuchezea casino tu.
Na kanuni yangu yale ma aviator sitokaa kujaribu, kwahiyo huwa yana expire sana.
Nifanyaje nipate za free bets?
Labda hutumii SPORTYBET mara kwa mara, ila kama unatumia na wanakupuna lazma wakupe. Kwenye mechi za mwisho za Uefa league phase walitupuna sana wakatoa gift mlima, Mimi walinipa gift ya laki 3 alhamisi halaf kesho yake wakanipa laki 2. Ila kwa mihemko na hasira za kupigwa, nikapunwa na hizo gift zote.
 
Labda hutumii SPORTYBET mara kwa mara, ila kama unatumia na wanakupuna lazma wakupe. Kwenye mechi za mwisho za Uefa league phase walitupuna sana wakatoa gift mlima, Mimi walinipa gift ya laki 3 alhamisi halaf kesho yake wakanipa laki 2. Ila kwa mihemko na hasira za kupigwa, nikapunwa na hizo gift zote.
😆, Hizo gift ukila wanakata au?
Mimi napewaga gift lakini wanaandika chini nitumie kwenye casino

Juzi nilipata gift za kama elfu 80 ila wakawa wanasema ni use in kwenye yale macasino na yale nahofia uraibu wake sitaki kujaribu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom