Kwanza ieleweke USA ana Qualify 100%
Goli 3 zipo ova 2.5
kona ova 11
Multkona ova 24.5
Offside za kutosha
Kadi ova 1.5
Targets Ova 5.5
Nasema yote hayo maana bosniaa ni mchovuu ni tunisia aliyechangamka.
Na pia yeye hanaga pira la kuremba hapakigi basii hivyo ana produce kona za kutoshaa.
Bosnia yeye kama yeye kona ova 3.5 hadi 4.5 anatoaa.
Usa ova 5.5 hadi 7.5 anatoaa konaa
Total kona autcomee ova 11.5 kama unawasiwasi weka ova 10.5 kama hujiamini kabisaa tia ova 8.5
Mpira wa bosnia wa mbele kwq mbelee inamfanya atoe offside nyingi so opt ya offside under 34 hii sishauri.
Ball enter Yes (Japo hawa wana offside sanaa)
No penalty Yes,ilq hii match best pick ni ball enter.
USA atataka amalize shughuli mapema so first half itakuwa na mbilinge nyingi.
Possible outcome za first half.
Possible first half.
Thrown in over 16.5 hii must.
Kadi 1.5
First touch gol keper in 1min
First to happen throw in
Shot on target ova 4.5 first half yes 5 zinatoka. Kama hujiamini 3.5
Kona ova 5.5 kama una hofu 4.5
USA ova 3.5 kama una hofu 2.5
Bosnia ova 2.5 kama una wasiwasi 1.5
Nategemea first half magoli itakuwa over 1.5 yes magoli ma 2.
Hii match ina GG
Na goli ni ova 2.5 up to 3.5
Inaweza kuwa mechi ya mtoano yenye magoli mengi zaidi.
Bosnia wqkiingia kw3nye mfumo goli 5 zitahusika