England sina shida naye kwa kona.England ndo atakuwa na kona nyingi maana watakuwa wanashambulia sana huku congo watakuwa washambulia kwa kuvizia sana
Sikia maisha kamari mkuu.Einsteini natumia sportybet na 1xbet so champagne yenye odds nyingi kuliko nyingine pia ulivyisema congo watajihami duuh corner kweli watatoa???
VND9SSikia maisha kamari mkuu.
Best pick kws xbet hii hapaa
Kaka nimekwambia congo kwenye kona wavivuHii match imekaa kushoto kuendelea ku stake ni kufirisika wakuu mm nashuka kwenye hili treni aisee
Daah hatarii mzee.Kaka nimekwambia congo kwenye kona wavivu
Kwenye kamali huwa kuna siku mbaya kaziniDaah hatarii mzee.
NImewaachia mbugi
Huyu england kachanisha mikeka snaa leoKwenye kamali huwa kuna siku mbaya kazini
Unataka kusemaje hapo mtaalamu?Iv kwann timu za africa zinatoka kwa 2 kwa 1 ukianzia south Africa, ivory coast na congo yan 2_1
Vp game ya Senegal tunatokaje hapaUnataka kusemaje hapo mtaalamu?