Daah ulijilipua.Mexico nilimpa shots on Target 4.5
Leo hizo 4.5 mpe england
Afu congo mpe 3.5
Daah ulijilipua.Mexico nilimpa shots on Target 4.5
Hivi muhindi anatumia kigezo gani kuto kona?
Yes,yule ni afisa muwekezajiV37XS
ADUXS
M8UXS
4B8XS
Duh kunamwamba anajiita saltiva aisee yuko njema sema mtaji uwe shedooo
MUwekezaji hizo odd 1.9 za congo usiziache
Unatumia app gani?Einsteini tuma code maana hata sijakupata
Kwenye kona usimwamini sana congo hanaga kona nyingiIla li congo litacheza sana nyuma kujihami.
Naona kama litazingua kutoa kona vile.