Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting acha iitwe Betting

Kuna matukio utafikiria yamepangwa kumbe NDIO Bahati nasibu ilivyo

Mechi ya Mexico vs Ecuador
Niliipa options zote na Bookings,sasa Dakika 90 Piero akalimwa Red Card kwa kufumba mdomo wakati wa kuongea na Mchezaji mwenzie ambapo Sheria za World Cup ni straight Red Card,ikawa mkeka upo salama

Screenshot_20260701-083155_1.jpg
Screenshot_20260701-082949.png
 
BETPAWA vs SPORTYBET

Mbali na kutumia SPORTYBET kwa miaka Mingi na NDIO favorite betting company kwangu na pia na Bet through BETPAWA
SPORTYBET Ni Wazuri sana kweli ku
DEPOSIT:- Yaani makato kidogo mnoo
Ila
WITHDRAW:- Cashout yake ni Janga zittto mnoo, unaweza kukuta inasoma 50,000 Cashout,ila toa likukute jambo,pesa ikatwa kubwa mnooo

IBETPAWA
Wazuri sana kwenye Cashout na Withdraw
Yaani unachokiona kwenye Cashout NDIO kinachotoka,very smooth and superb👏👏👏 NO Makato

Deposit:- Hapa Makato makubwa,Tena wamechangamka ukiweka pesa

Sasa this weekend Baada ya Budget ya Serikali kusomwa:-
kuongezeka kwa Kodi kimya kimya licha ya Raisi wetu BABA levo kutetea ila Kodi imeongezwa na BETPAWA wameweka Withdrawal fees
Sasa hivi inamaana ukitoa kuna Makato,ila Bora wao wameweka wazi,ila hata hivyo basi Makato Madogo sana
Sasa hii pia itapelekea Cashout pia iwe inakatwa tofauti na zamani ilikuwa unayoiona inatoka kama ilivyo, although Sijafanya majaribio BETPAWA kuona baada ya kodi kuingizwa kama Cashout it's reflect uhalisia but wadau mtajazia

Makato bado Rafiki na Hongereni kwa awareness BETPAWA na kuweka wazi

Screenshot_20260701-055552.png
 
117 odds - MHJQEC

115 odds - GNJ2G5

112 odds - RCH5SV

106 odds - JRXGUE

102 odds - L51H0R

101 odds - Y8VWSS

Edit ur test
 
WALE WA ODDS 2 MPK 3
KAZI KWENU
 

Attachments

  • IMG_20260701_103241_189.jpg
    IMG_20260701_103241_189.jpg
    66.1 KB · Views: 15
WEKA GG &3+
NIKOKWA WAKALA
 

Attachments

  • IMG_20260701_103401_938.jpg
    IMG_20260701_103401_938.jpg
    71.2 KB · Views: 12
Home win and over 2.5 full time
💯 perc
 

Attachments

  • IMG_20260701_103642_114.jpg
    IMG_20260701_103642_114.jpg
    29.7 KB · Views: 12
BETPAWA vs SPORTYBET

Mbali na kutumia SPORTYBET kwa miaka Mingi na NDIO favorite betting company kwangu na pia na Bet through BETPAWA
SPORTYBET Ni Wazuri sana kweli ku
DEPOSIT:- Yaani makato kidogo mnoo
Ila
WITHDRAW:- Cashout yake ni Janga zittto mnoo, unaweza kukuta inasoma 50,000 Cashout,ila toa likukute jambo,pesa ikatwa kubwa mnooo

IBETPAWA
Wazuri sana kwenye Cashout na Withdraw
Yaani unachokiona kwenye Cashout NDIO kinachotoka,very smooth and superb👏👏👏 NO Makato

Deposit:- Hapa Makato makubwa,Tena wamechangamka ukiweka pesa

Sasa this weekend Baada ya Budget ya Serikali kusomwa:-
kuongezeka kwa Kodi kimya kimya licha ya Raisi wetu BABA levo kutetea ila Kodi imeongezwa na BETPAWA wameweka Withdrawal fees
Sasa hivi inamaana ukitoa kuna Makato,ila Bora wao wameweka wazi,ila hata hivyo basi Makato Madogo sana
Sasa hii pia itapelekea Cashout pia iwe inakatwa tofauti na zamani ilikuwa unayoiona inatoka kama ilivyo, although Sijafanya majaribio BETPAWA kuona baada ya kodi kuingizwa kama Cashout it's reflect uhalisia but wadau mtajazia

Makato bado Rafiki na Hongereni kwa awareness BETPAWA na kuweka wazi

View attachment 3619447
Jana airtel wameninyima hela kwenye xbet kupiga wanasema hawajafikia makubaliano mazuri na xbet kuhusu hizo fees hivyo wamesitishanhuduma kwa muda.
Nitafute laini mbadala sasa
 
Betting acha iitwe Betting

Kuna matukio utafikiria yamepangwa kumbe NDIO Bahati nasibu ilivyo

Mechi ya Mexico vs Ecuador
Niliipa options zote na Bookings,sasa Dakika 90 Piero akalimwa Red Card kwa kufumba mdomo wakati wa kuongea na Mchezaji mwenzie ambapo Sheria za World Cup ni straight Red Card,ikawa mkeka upo salama

View attachment 3619433View attachment 3619434
Odd 3 za motoo😁😁😁.
Hii ya kuchambua wenyewe na kuweka mikeka n nzuri sana.
Leo wawekezaji kwenye wasap wanamshukuru tiva kwq odd 2 za mbuzi
 
Oya mkuu umetisha. Nimefuatilia unavyoleta code, unaweka na maelezo kabisa mtu anaelewa cha kufanya. Ngoja nitulie hapa labda naweza punguza machungu
Sisi huwa tunachambua hapa jamvini.
Na inaleta outcomes nzuri.
Wadau walinishauri niwe muwekezaji niache kukomaa na odds elfu 1.

Naona matunda ya ki,uwekezaji
Jioni utakuta mechi tumeweka
 
Back
Top Bottom