Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Possibly first half.
Leo inagoma kwangu kuweka pesa kwq voda
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_161749_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260630_161749_1xBet-tz.jpg
    82.3 KB · Views: 12
1xbwt leo nitawalaani sanaa
Pesa nazichungulia ila siwezi tumia
Daah sometimes ma apps ya kizungu jau kweli
 
Possibly sec half.
Sportbet.

Jkt cape 2 odd 3. Mfuate.
Hii game ngumu kwa yanga uwezo wa ku score goal 2 sec half n mdogo.
 
No goalz kama unahisi kuna goal cheza na hao wawili wawil maana odds zao mlima

Mf.
Odd 4 goal una stake
Odd 3 goal una stake.
So yeyote aki win unapiga

Hii fanya kama unaona kuna goli.
Mm nime pock all match from now no goal
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_173351_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260630_173351_SportyBet.jpg
    175 KB · Views: 6
Maafisa wawekezaji bila shka hizo odds mlinyakua.
Total odd 24
Cut off 1.
Lakini odds kwa kila match ilikuwa 3,2 na ,1.7

Hili chimbo langu la no goal unyama sanaa
Match za now nizifanyie uwekezaji.
No goal naipiga hivi.

Kuna
Dk ya 50 hadi 70 afu na cashout
Dk ya 60 hadi 80 na cashout
Dk ya 75 hadi 90 na cashout
Dk 80 hadi FT naacha dry

Ukifuata hivyo wewe kila siku kanji utamnyanyasaa
Magoli mengi kipindi cha 2 uwa ni dk ya 67 hadi 78.
Ukiona kipindi hiko no goal basi uwwzekano wa kutoa hiyo match n mkubwa.

Uhuni mwengine ambao huwa na pick.
Unakuta kuna match naona kabisa hii ina goal ila hilo goal itafunga team gani? Basi nafanya hivi.

Team 1 nawapa
Team ya 2 nao nawapa.
Maana opt za nwxt goal team binafsi inakuwa na odds 3 hadi 7.
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_180028_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260630_180028_SportyBet.jpg
    154.8 KB · Views: 8
Wawekezaji mmekimbilia wapi??
Game ya muda huu
Possibly outcome zangu.

Kona ova 10
Odds 4

Middle to score odd 2

Naenda na hizo opt.

Hii game shughuli inaisha mapema sana haina extra time..

GG hakuna.
NOrway to win NiL

Ova 0.5 first half but under 1.5 first half

Wazee wa kujilipua.
Under 0.5 offside in 34min

Try at ur own risk
Over 0.5 kona in 5min
Over 0.5 kona in 10min.

Mpira ni wa kasi kwahiyo kona zitazalishwa nyingi.

Total outcomes.
Ova 2.5 goal. (Kama kukiwa na ova 2.5 basi GG possibly inatoka)
At ur own risk under 1.5 total
VAR USED YES 100%

First touch 1min goal keeper Yes.
First to happen throw in

Zingatia
Ova 10 kona pana odds 4. Ni uhakikaa hii
 
Wawekezaji mmekimbilia wapi??
Game ya muda huu
Possibly outcome zangu.

Kona ova 10
Odds 4

Middle to score odd 2

Naenda na hizo opt.

Hii game shughuli inaisha mapema sana haina extra time..

GG hakuna.
NOrway to win NiL

Ova 0.5 first half but under 1.5 first half

Wazee wa kujilipua.
Under 0.5 offside in 34min

Try at ur own risk
Over 0.5 kona in 5min
Over 0.5 kona in 10min.

Mpira ni wa kasi kwahiyo kona zitazalishwa nyingi.

Total outcomes.
Ova 2.5 goal. (Kama kukiwa na ova 2.5 basi GG possibly inatoka)
At ur own risk under 1.5 total
VAR USED YES 100%

First touch 1min goal keeper Yes.
First to happen throw in

Zingatia
Ova 10 kona pana odds 4. Ni uhakikaa hii
Mtu ukitulia kwa game hii pesa ipo
 
Mtu ukitulia kwa game hii pesa ipo
Odds za kiwekezaji zinatoa.
Kona nina uhakika zinafika 11 leo na ndiyo nalia nazo.

Middle to score. Mechi nyingi middle huwa wana score zaidi kuliko 4wad.

Offside in 34min under hii game ya nidhamu.

Sema nimetupia ova 1 na nikaweka exactly 1 first half.

Kadi nimefanya usanii.
First half
Ivory win kadi odd 3.5
Norway win kadi odd 4.5

Kilq mtu nime mbetia ashinde kadi so yoyote hapo akitoa hizo odds nakulaa
 
Nimejilipua na odd za ki uwekezaji

Ova 0.5 kona ina 5min
GOal keper to touch thr balll in 1min
First action nimeweka throw in
Middle to score
Most kona second half
Ova 11 kona
Most offside sec half
Under 0.5 offside in 34 min.
Subst at half yes.
Var Yes.

Hapo ni odds 4,3 na 2.5
 
Back
Top Bottom