Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa hamna hela toa hayo matoto ya samia
ACHA Siasa mdau

Usituletee hizo kabisaaa humu

SAMIA na Betting vinahisiana nini

Yaani mtu aache kumpa Simba leo ashinde au Young Africans ashinde kisa Team za TANZANIA au SAMIA kama unavyoita?

Yaani JKT amfunge YOUNG AFRICANS na KMC amfunge SIMBA?
Mtu asibet hizo Mechi kisa Team za watoto wa SAMIA

Punguza Mihemko ya kisiasa,huwa inapunguza AKILI
 
NAHITAJI WATU 10 SERIOUSLY AMBAO WANATAKA ODDS 1.40 ZA UWAKIKA PREDICTION MECHI 10 KILA SIKU HAKUNA UTAPELI UNABETI WEWE MWENYEWE KWENYE ACCOUNT YAKO NJOO WHATSAPP 0788347040 AU PIGA SIMU
 
NAHITAJI WATU 10 SERIOUSLY AMBAO WANATAKA ODDS 1.40 ZA UWAKIKA PREDICTION MECHI 10 KILA SIKU HAKUNA UTAPELI UNABETI WEWE MWENYEWE KWENYE ACCOUNT YAKO NJOO WHATSAPP 0788347040 AU PIGA SIMU
Wenzako humj tunaweka odds zetu na tunachambua nanwatu wana boom
Kwqnza odds 1.4 ndogo sanaa

Sisi humu tunawekeza kuanzia odd 2
 
ACHA nae

Humu hatuna habari za Siasa

Siasa mtu apeleke kwa Mama yake

Mtu hakupi pesa then anataka akupangie Maisha 🤣🤣🤣🤣
Amekupangia nani punguza ujinga kwahiyo code zako ni 100 percent win tusiweke warming ngapi ulipost jana na zipi ziliwin acha ujinga wewe pekee ndo unashare humu
 
Vunjabei kaweka mechi ya Namungo
Sportbet mechi ya Yanga
Betpawa mechi ya Yanga

Mechi zimginezo napata wapi?
 
Try at your own risk
Screenshot_20260630-153116_1xBet.jpg
 
Back
Top Bottom