Ilifahamika wote mipira yao ya kasi.
MPira wa kasi unakuwa na kona nyingi
Mpira ambao wanashambulia pembeni pana kona nyingi.
Pia
Ulaya na africa mechi zao huwa na kona sana.
Nashangaa kanji alitoa odd 4 kama kona zitafika 11
Na ndiyo maana nikawa nasisitiza kona zitakuww nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.