Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ule mkeka wa odds 11 nao francw katibua sherehe hajatoa offside hata 1 aiseeh. Yaani hata 1 ya kusingiziwa😁
 
Ile kachana 1 au 2?
Ile 3 goal jana zimetoka sanaa goli 3,3

Mkeka wa jamaa hadi dk ya 60 cashout kubwa.
Maana wote walitoa goli 2 kipindi cha 1 m1 alitoa goli 1 so uwezeako wa kutoa goli 1 kipind cha 2 ulikuwa mkubwa akaja kuharibu sherehe
Inatoa moyo kwa sisi wawekezaji, hizi changamoto ndogo ndogo tunazitatu kwa mikeka inayofata.
Twende kazi mkuu badae chapa code za leo
 
Inatoa moyo kwa sisi wawekezaji, hizi changamoto ndogo ndogo tunazitatu kwa mikeka inayofata.
Twende kazi mkuu badae chapa code za leo
Chukua hizo odd upate hela ya supu ya harakaa
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_091731_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_091731_Helabet.jpg
    156.7 KB · Views: 14
Daa kachana 1 halafu alivyokuwa jau.
Kipindi cha 1 alikiwa anaongoza goli 1.
Zingine zote 4 zimetoa kama uli cashout uliambulia
Nilitest zari kwa 20, nimekwenda nao mpaka mwisho aisee. Kuna match ilikuwa interrupted ndo ilofanya hata cash out kuzingua. Cash out ilikuwa inasoma 0 na points zake.
 
Nilitest zari kwa 20, nimekwenda nao mpaka mwisho aisee. Kuna match ilikuwa interrupted ndo ilofanya hata cash out kuzingua. Cash out ilikuwa inasoma 0 na points zake.
Outcomes yake imekuaje? Kachana m1 si ndiyo?
 
Kama hii imetoa. Ila mrussi bhna
Yaani wining margin ikiwa 6 anatoa oddsb2.4
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_095126_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_095126_Helabet.jpg
    105 KB · Views: 11
Ungeshare na hizo za basketball mkuu.
Ingia kwenye live match za basketball tafute kitufe cha handcap. Mwenye cap nyingi zaidi + mfate mechi 2 odds 3.
Au fanya vice vesa.
Mwenye cap - mpe ushindi mdogo maybe kama ni -23 -13 -16 fata negativ ndogo zaidi
 
Kwenye sportbet kwa game za saizi kwenye live naona Kuna cap ya - hakuna +
 
Back
Top Bottom