Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ingia kwenye live match za basketball tafute kitufe cha handcap. Mwenye cap nyingi zaidi + mfate mechi 2 odds 3.
Au fanya vice vesa.
Mwenye cap - mpe ushindi mdogo maybe kama ni -23 -13 -16 fata negativ ndogo zaidi
Ngoja nijaribu
 
IMG_5173.jpeg

Kama hapa nampa ushindi huyo mwwnye +?
 
View attachment 3622910
Kama hapa nampa ushindi huyo mwwnye +?
Unafanya vice vesa.
Mf. Mwenye + kubwa mfate
Afu na mwenye - fata nega ndogo zaidi.

Mf hiyo.mechi yenye -27
Uki swwlect utaona ana hadi nega 34.
Sasa piga +34
Afu nwxt selection piga -14 au ya chini kabisa hii maana yake.
Ashindwe kwa cap 14 na vicw vesa asizidi kufungwa kwa diff ya 34
 
Mf mm hapo nimeweka hizo team zishinde kwa zaisi ya hivyo vikapu
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_100733_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_100733_Helabet.jpg
    155.6 KB · Views: 13
Bado😁
Rudia somo
Handcap +28 means team dhaifu kapewa vikapu 28 vya bure means kama akifungwa labda 100 kwa 78 means atakuwa ka win kwan ukichukua vikapu vyake 28 alivyopewa ukajumlisha na alivyoshinda atakuwa na vikapu 106.

Handcap ya -28 means team strong ishinde kwa utofauti wa zaidi ya vikapu 28.
Means kama mechi ikiisha 100 kwa 68.
Ukitoa 100-68 ni kama 32 so tayari kavuka lengo.

Sasa hii ukitaka kuipatia unafanya hivi.
KAma full match cap n labda 28.
Hii 28 unampa team dhaifu.
Afu utatafuta cap ndogo ya - mf cap ya -14 kwa team imara
Maana yake nn??
Team imara ashinde kwa zIdi ya vikapu 14 lakini poa team dhaifu isifungwe zadii ya tofaut ya vikapu 28
 
Huu mkeka ume win kwan team 2 kashinda kwa tofauti ya vikapu 8. Tena zaidi hapo ni odds 1.8
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_103605_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_103605_Helabet.jpg
    105.7 KB · Views: 14
Hapa tena kuna 74 kwa 91 na cap inasema mgeni ashinde kwa zaidi ya vikapu 12 ukiangalia ni imetoa
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_103724_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_103724_Helabet.jpg
    106.7 KB · Views: 10
Mf hapo.
Away ana vikapu 33 alivyo score lakini kapewa vikapu vya ziada 28.

Mwenyeji ana vikapu 55.
Lakini kapewa ongezeko la vikapu 28-.

Maana yake nn??
Ukiweka away +28 means mgeni asifungwe vikapu vya zaidi ya tofauti ya28.
Hii maana yake.
Kama mechi ikaisha kwa labda 100 kwa 78.
Ukitoa hapo ni sawa na 22. So mgeni ni kama atakuwa mshindi maana ana faida ya vikapu 28 tayari.

Ila kama mgeni atapoteza kwa
100 kwa 68.
Maana yake mwenyeji atakuwa mshindi kwa tofauti ya zaid ya vikapu 28.

Sasa nikawa nasema pale kuwa??.

Mgeni anafuatwa na vikapu 28.
Halafu mwenyeji unaweza mpa cap ya nega 12 au 14 means ashindwe kws tofaut ya vikapu 12 badala ya 28
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_104125_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260705_104125_SportyBet.jpg
    120.6 KB · Views: 10
Handcap +28 means team dhaifu kapewa vikapu 28 vya bure means kama akifungwa labda 100 kwa 78 means atakuwa ka win kwan ukichukua vikapu vyake 28 alivyopewa ukajumlisha na alivyoshinda atakuwa na vikapu 106.

Handcap ya -28 means team strong ishinde kwa utofauti wa zaidi ya vikapu 28.
Means kama mechi ikiisha 100 kwa 68.
Ukitoa 100-68 ni kama 32 so tayari kavuka lengo.

Sasa hii ukitaka kuipatia unafanya hivi.
KAma full match cap n labda 28.
Hii 28 unampa team dhaifu.
Afu utatafuta cap ndogo ya - mf cap ya -14 kwa team imara
Maana yake nn??
Team imara ashinde kwa zIdi ya vikapu 14 lakini poa team dhaifu isifungwe zadii ya tofaut ya vikapu 28
Kwa lugha nyepesi unamaanisha possibility ya kuwin team dhaifu ipewe vikapu idadi ndogo (-) na team imara ipewe idadi ndogo (+)?
 
Kwa lugha nyepesi unamaanisha possibility ya kuwin team dhaifu ipewe vikapu idadi ndogo (-) na team imara ipewe idadi ndogo (+)?
Team dhaifu ni +
Na team imara ni -

So, wewe mwenyewe utaamua sasa team dhaifu atazidi vikapu 28 au team imara itafunga lakini chini ya vikapu 28??
 
Wawekezaji eeeh??
Mnajuaga mechi 7 na cut off 2 au 1.
Hii nahisi sitokuwa na cut off.
Odd 91 za moto hizoop mechi saa 7 kufika saa 9 hatma ishajulikana. Imeakaaje hii??
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_113718_Helabet.jpg
    Screenshot_20260705_113718_Helabet.jpg
    137.3 KB · Views: 15
Wawekezaji eeeh??
Mnajuaga mechi 7 na cut off 2 au 1.
Hii nahisi sitokuwa na cut off.
Odd 91 za moto hizoop mechi saa 7 kufika saa 9 hatma ishajulikana. Imeakaaje hii??
Hapa mnaweza jipigia odds 4 au 9 kws mechi 2 hadi 3.
Huu mkeka uhakikaa unafaha kwa wawekezaji na wazee wa buku kusaka million
 
Back
Top Bottom