Kuna opt kwenye app za mrusi zipo afu wadau hamuelewi.
Mf kuna hii opt ya dk ndani ya dk 30 kuwepo na kona kwa team yoyote hii huwa na odds 1.3
Kwa akili ya kawaida n rahisi sana mechi ndani ya dk 30 kuwe na kona.
Na kuna opt ya directly team fulani ndani ya dk 15 au 30 izalishe kona hii huwa na odds 1.5 hadi 1.8 kama mlivyoona hapo juu. Sasa kwa hesabu rahisii.
Unachukua
Odds 1.2 unazidisha na team 4 unapata odds 2.
Mimi hizi opt huwa sizitumii kwa sababu naona odds chache ila waw3k3zaji mnaweza tumia na mkapiga helaa.
Kuna watu wana n inbox wanalalamika kwanini natoa machimbo? Wakidai et watu wengi wakiyajua winning itakuwa ndogo🤣