Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vigezo na masharti kuzingatiwaπŸ˜‚

Inatakiwa jumla ya stake utakayo betia hiyo bonasi iwe mara tatu ya 7680

Mfano ulipo stake 7680 hiyo ilikua ni mara moja

Ungestake tena 7680 na ukawin hiyo ingekuwa mara ya pili

Halafu ungestake yena 7680 ingekuwa mara ya tatu

Hapo acc yako ingewekwa 7680 tu hata kama ungekua umekula milioni
 
Mimi hayo masharti sijawahi kuwin. Hata zawadi ya birthday ile single ya odds 1.8 huwa naangukia pua nimewin Mara 3 tu toka 2018
 
Kibongobongo kila kitu connection. Hata kujoin group jipya la rollover lililokuwa linajadiliwa humu, inatakiwa connection.

Kama kweli limeshaundwa, watu wanajadili madini huko. Sisi tupo humu tunatumbua macho tu.
 
Imeandikwa amtegemeae mwanadamu........, odds 2 mm siwezi mtegemea mtu nazitungua Kila kunakokuwepo na games at least mbili tu iwe football, tennis, ice hockey, baseball na baseball.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…