Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shin Lim ,Niache Nteseke Einsteini ,TEAM 666 Jm James nimeona comment zenu na mapendekezo yenu yote humu juu ya rollover challenge for me it is very fantastic advice naona imekaa poa sana ila napenda nikazie swala la kuunda group naomba mmoja aunde group la whatsaap ila tuwe na access ya code kwa wakati na pia muda wa saa 12 ni mzuri pia kwa kuachia code ili kila mtu awe aware kwa muda huo so far nashauri mkeka mmoja uwe wa saving/recovery ikitokea lolote kwenye rollover yetu ,kuhusu kampuni napendekeze sportybet kama wengine mlivyotoa mawazo yenu na pia tukiona option nzuri zaidi kulingana na game tuwe tunatumia helabet pia 🙏🙏🙏ila Mzibua Vyoo unazingua sanaa unadandia gari kwa mbele bila kufuatilia mapendekezo ya watu toka mwanzo.
Naamini group Leo LITAKUA tayar
 
Shin Lim ,Niache Nteseke Einsteini ,TEAM 666 Jm James nimeona comment zenu na mapendekezo yenu yote humu juu ya rollover challenge for me it is very fantastic advice naona imekaa poa sana ila napenda nikazie swala la kuunda group naomba mmoja aunde group la whatsaap ila tuwe na access ya code kwa wakati na pia muda wa saa 12 ni mzuri pia kwa kuachia code ili kila mtu awe aware kwa muda huo so far nashauri mkeka mmoja uwe wa saving/recovery ikitokea lolote kwenye rollover yetu ,kuhusu kampuni napendekeze sportybet kama wengine mlivyotoa mawazo yenu na pia tukiona option nzuri zaidi kulingana na game tuwe tunatumia helabet pia
 
Shin Lim ,Niache Nteseke Einsteini ,TEAM 666 Jm James nimeona comment zenu na mapendekezo yenu yote humu juu ya rollover challenge for me it is very fantastic advice naona imekaa poa sana ila napenda nikazie swala la kuunda group naomba mmoja aunde group la whatsaap ila tuwe na access ya code kwa wakati na pia muda wa saa 12 ni mzuri pia kwa kuachia code ili kila mtu awe aware kwa muda huo so far nashauri mkeka mmoja uwe wa saving/recovery ikitokea lolote kwenye rollover yetu ,kuhusu kampuni napendekeze sportybet kama wengine mlivyotoa mawazo yenu na pia tukiona option nzuri zaidi kulingana na game tuwe tunatumia helabet pia 🙏🙏🙏ila Mzibua Vyoo unazingua sanaa unadandia gari kwa mbele bila kufuatilia mapendekezo ya watu toka mwanzo.
Hakika Leo group Liundwe ni wakati wa kufanya kwa vitendo wakuu
 
Mimi naanza na roll ova yangu kwa mfa hai,kama huu hapa
Naweka sh 100 hela bet.
Nikiwa na target ya kufikisha 2M

Nachukua team 1 tu.
Leo naanza na basketball
Ngoja niwwke mkeka wangu hapa
Japo.kesho nitaweka 10K katika hii roll ova
Sikukatishi tamaa ila hakuna jipya ambalo halijawahi kujadiliwa humu.

Nakukumbusha hakuna aliyewahi kula/kumpiga kanji mara 10 bila kupotea
 
Back
Top Bottom