Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odd 4 kwa siku.
Wastani wa odds 2 na odds 2 kwa siku
Yes nadhani hii itakuwa imekaa njema zaidi, zipigwe Odds 2 zikitoa zinatupiwa Odds 2 za mwisho kwa siku, zinakuwa na afya kiakili na kimwili pia, kwa siku tunakuwa tumefunga hesabu, ndani ya siku 5 zoezi linakamilika tunaangalia ustaarabu mwengine. PERIOD.
 
Sisi wakamaria tuna mambo mengi sana.

Suala la rollover limeanza kujadiliwa tangu usiku wa manane. Lakini mpaka sasa bado watu wanapiga domo tu, hakuna wa kuanza kuweka 2 odds za rollover wala nini.

Usikute ndiyo imetoka hiyo
Nikitazama username yako na hii comment uliyoandika hapa wala sishangai...!
 
nilitaka nibeti odds 28 kwa single kwa kuzingatia tabia ya timu za kiafrika. Kabla sijabeti nikapata mgeni, so sijabeti na kuna mtu nilitaka nimtumie sijafanya hivyo. Option imetoa sijaingiza hela
Screenshot_20260707-180257_Linebet.jpg
 
Unachosema ni sahihi kabisa kiongozi, kama una uhakika wa Odds 2, yaani malengo yawe ni Odds 2 za uhakika. Kwa nini tusipige Roll Over ya mikeka 10...? Including Basketball and the likes coz wengine huko hatupajui vizuri.

Hapa tumguse muwekezaji wa chini kabisa mwenye shilingi 2,000, it means ndani ya hizo siku 10 atapata mtaji wa kutosha kabisa.

Nikimaanisha : -

1. 2,000 > 4,000
2. 4,000 > 8,000
3. 8,000 > 16,000
4. 16,000 > 32,000
5. 32,000 > 64,000
6. 64,000 > 128,000
7. 128,000 >.156,000
8. 156,000 > 312,000
9. 312,000 > 624,000
10. 624,000 > 1,248,000

Kwa Roll Over kama hiyo, mi natumai tutafika mbali tukiwa na mpango mkakati wa hizo Odds 2 za uhakika daily. Iwe kila siku kwa siku 10 au tuwe tunafanya twice kwa siku 5. Kwa kianzio cha mtaji wa buku 2 kwa sure Odds 2. daily.

Ningependa pia kuskia mawazo ya wadau wana lipi juu ya hili wazo, kikubwa ni kumpiga Patel, lakini pia kikubwa ni Consistency.

NAWASILISHA.
Ipo sawa hii mkuu nimeona majukwaa kibao wanampiga Kwa style hii ya rollover na sisi kama Jf tuwe hata na groups Letu la rollover IRA challenge
 
Shin Lim ,Niache Nteseke Einsteini ,TEAM 666 Jm James nimeona comment zenu na mapendekezo yenu yote humu juu ya rollover challenge for me it is very fantastic advice naona imekaa poa sana ila napenda nikazie swala la kuunda group naomba mmoja aunde group la whatsaap ila tuwe na access ya code kwa wakati na pia muda wa saa 12 ni mzuri pia kwa kuachia code ili kila mtu awe aware kwa muda huo so far nashauri mkeka mmoja uwe wa saving/recovery ikitokea lolote kwenye rollover yetu ,kuhusu kampuni napendekeze sportybet kama wengine mlivyotoa mawazo yenu na pia tukiona option nzuri zaidi kulingana na game tuwe tunatumia helabet pia 🙏🙏🙏ila Mzibua Vyoo unazingua sanaa unadandia gari kwa mbele bila kufuatilia mapendekezo ya watu toka mwanzo.
 
Wazee mbona mnanisakama?, mimi niliona kimya nikauliza. Kuuliza imekuwa shida?!. Mnanishambulia utafikiri nimetukana?!!.

Baada ya kuona kimya, mimi nimekumbusha tu. Nimekumbusha jambo la kheri naonekana mbaya. Acheni hizo jama.
 
Back
Top Bottom