Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juzi nilikuwa napitia channel za wawekezaji, nikakuta watu wanafurahi kupiga odds 1.45 mara waansherehekea kupiga odds 1.65 daah kwa kweli nilishangaa sana.
Ila nikaja gundua odd 1.65 au 1.55 kama ukinstake pesa ndefu basi unapata nusu ya hela uliyoweka au zadii kidogo.
Nikapiga tathimin kama ukiwa na uhakika wa kupiga odds 1.7 kwa siku ina maana kwa week 1 ni sawa na kupiga odds 42.
Sasa kama ikiwepo challenge ya ku rebet na kutumia ile hela ambayo unapata kwa siku mara week kwa hizo odds 1.7 naona pesa ni ndefuu..

Kwa opt nazotoa humu zinatoa odds 2 hadi 3 na nikibrbrsha ma team ndo najikuta team 1 inachana sasa,kwanini nisiwe naweka tu odds 1.
 
Ukiweka kuizoea uta-enjoy sana nizaidi ya kampuni ya kubet
Shin Lim sikuwahi kuitumia hii kampuni nimeanza wiki hii ila natumai kuna kitu nitapata hapa. Na nilitaka nimuulize ndugu yetu Einsteini kuhusu hii kampuni atupe mawili matatu, ila mimi tayari nimeanza kuutumia na nitaanza ku-share codes kutoka kwa mtu aliyenishawishi kuitumia ili wana Jukwaa nao waweze kunufaika.

Japo kwa upande wangu nime-download app yao ila inaniambia check your internet connection wakati net ipo sawa na msg hata browsers zinafunguka ila app yao kwangu inakataa thou, natumia chome.

Anyway, mwenye uzoefu na hii kampuni tungeomba atupe mawili matatu please. Thanks a lot...!

🙏🏾
 
Hizi opt nilizisuka kwenye mkeka 1.
Katika opt 5 ni 4 zilitoa lakini 1 zikachana.
Nikawqza ningekuwa na channel ya wawek3saji basi kwa hizo odds 2 mara 1.9 ningebeba kijiji sanaa
 
Attachments

  • Screenshot_20260707_003111_Helabet.jpg
    Screenshot_20260707_003111_Helabet.jpg
    110.1 KB · Views: 15
Shin Lim sikuwahi kuitumia hii kampuni nimeanza wiki hii ila natumai kuna kitu nitapata hapa. Na nilitaka nimuulize ndugu yetu Einsteini kuhusu hii kampuni atupe mawili matatu, ila mimi tayari nimeanza kuutumia na nitaanza ku-share codes kutoka kwa mtu aliyenishawishi kuitumia ili wana Jukwaa nao waweze kunufaika.

Japo kwa upande wangu nime-download app yao ila inaniambia check your internet connection wakati net ipo sawa na msg hata browsers zinafunguka ila app yao kwangu inakataa thou, natumia chome.

Anyway, mwenye uzoefu na hii kampuni tungeomba atupe mawili matatu please. Thanks a lot...!

🙏🏾
Wqsha VPn nimewahi tumia 1win
 
Juzi niliweka mkeka wa kona odds 91 teams 7.
Katika team 7 ni mbili zilichana.
Na kila team ilikuwa na odds 1.98 ina maana teams 5 zilitoa hizo odds 1.98.
Kwahiyo kuanzia now naanza kupost mikeka ya wawekzaji
Odds
1.8 mara 1.9 na 2
 
Spwcial zangu rukeni nazo hizo
Special 11.
Najua zita cut off 2 hapo.
Kazi n kwenu.
Kwahiyo ukishuka nazo kwa kuweka 10,10 au buku 5,5
 
Attachments

  • Screenshot_20260707_004737_Helabet.jpg
    Screenshot_20260707_004737_Helabet.jpg
    127.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260707_004744_Helabet.jpg
    Screenshot_20260707_004744_Helabet.jpg
    127.4 KB · Views: 14
Juzi nilikuwa napitia channel za wawekezaji, nikakuta watu wanafurahi kupiga odds 1.45 mara waansherehekea kupiga odds 1.65 daah kwa kweli nilishangaa sana.
Ila nikaja gundua odd 1.65 au 1.55 kama ukinstake pesa ndefu basi unapata nusu ya hela uliyoweka au zadii kidogo.
Nikapiga tathimin kama ukiwa na uhakika wa kupiga odds 1.7 kwa siku ina maana kwa week 1 ni sawa na kupiga odds 42.
Sasa kama ikiwepo challenge ya ku rebet na kutumia ile hela ambayo unapata kwa siku mara week kwa hizo odds 1.7 naona pesa ni ndefuu..

Kwa opt nazotoa humu zinatoa odds 2 hadi 3 na nikibrbrsha ma team ndo najikuta team 1 inachana sasa,kwanini nisiwe naweka tu odds 1.
Unachosema ni sahihi kabisa kiongozi, kama una uhakika wa Odds 2, yaani malengo yawe ni Odds 2 za uhakika. Kwa nini tusipige Roll Over ya mikeka 10...? Including Basketball and the likes coz wengine huko hatupajui vizuri.

Hapa tumguse muwekezaji wa chini kabisa mwenye shilingi 2,000, it means ndani ya hizo siku 10 atapata mtaji wa kutosha kabisa.

Nikimaanisha : -

1. 2,000 > 4,000
2. 4,000 > 8,000
3. 8,000 > 16,000
4. 16,000 > 32,000
5. 32,000 > 64,000
6. 64,000 > 128,000
7. 128,000 >.156,000
8. 156,000 > 312,000
9. 312,000 > 624,000
10. 624,000 > 1,248,000

Kwa Roll Over kama hiyo, mi natumai tutafika mbali tukiwa na mpango mkakati wa hizo Odds 2 za uhakika daily. Iwe kila siku kwa siku 10 au tuwe tunafanya twice kwa siku 5. Kwa kianzio cha mtaji wa buku 2 kwa sure Odds 2. daily.

Ningependa pia kuskia mawazo ya wadau wana lipi juu ya hili wazo, kikubwa ni kumpiga Patel, lakini pia kikubwa ni Consistency.

NAWASILISHA.
 
Atakayeweka elf 5 sawa atakayeweka elf ni sawa ila plan within those 5 days kwa 2 sure Odds yawe ymetimia jwa kila mtu kwa pesa ambayo yeye binafsi ataona inafaa kuweka.
 
Juzi niliweka mkeka wa kona odds 91 teams 7.
Katika team 7 ni mbili zilichana.
Na kila team ilikuwa na odds 1.98 ina maana teams 5 zilitoa hizo odds 1.98.
Kwahiyo kuanzia now naanza kupost mikeka ya wawekzaji
Odds
1.8 mara 1.9 na 2
Maana yake hapa Odds 2+ zilikuwa ni possible, tusiweke tamaa tufanye strategically kama uwekezaji mwingine tu coz Kanji sio ndugu yetu mzee, hebu tufanye hiyo plan then tuone itatufikisha wapi mzee.
 
Atakayeweka elf 5 sawa atakayeweka elf ni sawa ila plan within those 5 days kwa 2 sure Odds yawe ymetimia jwa kila mtu kwa pesa ambayo yeye binafsi ataona inafaa kuweka.
Sahihi mkuu, na mm nataka tufanye hivyo sure odds 2 au 1.9 kwa hiyo roll over itakuwa unyama sanaa.

Hapa muhimu tuwe na opt za uhakika zaidii.
Tuanze na wewe to,mapendekezo ya opt zako
 
Maana yake hapa Odds 2+ zilikuwa ni possible, tusiweke tamaa tufanye strategically kama uwekezaji mwingine tu coz Kanji sio ndugu yetu mzee, hebu tufanye hiyo plan then tuone itatufikisha wapi mzee.
Mimi nina ma opt mengi sana ambayo huwa yanatema.
Hapa ki,kubwa tupige single match au tubebeshe match 2 au 3 zenye jumla ya odds 2 lakini kikubwa iwe surely 100%
 
Unachosema ni sahihi kabisa kiongozi, kama una uhakika wa Odds 2, yaani malengo yawe ni Odds 2 za uhakika. Kwa nini tusipige Roll Over ya mikeka 10...? Including Basketball and the likes coz wengine huko hatupajui vizuri.

Hapa tumguse muwekezaji wa chini kabisa mwenye shilingi 2,000, it means ndani ya hizo siku 10 atapata mtaji wa kutosha kabisa.

Nikimaanisha : -

1. 2,000 > 4,000
2. 4,000 > 8,000
3. 8,000 > 16,000
4. 16,000 > 32,000
5. 32,000 > 64,000
6. 64,000 > 128,000
7. 128,000 >.156,000
8. 156,000 > 312,000
9. 312,000 > 624,000
10. 624,000 > 1,248,000

Kwa Roll Over kama hiyo, mi natumai tutafika mbali tukiwa na mpango mkakati wa hizo Odds 2 za uhakika daily. Iwe kila siku kwa siku 10 au tuwe tunafanya twice kwa siku 5. Kwa kianzio cha mtaji wa buku 2 kwa sure Odds 2. daily.

Ningependa pia kuskia mawazo ya wadau wana lipi juu ya hili wazo, kikubwa ni kumpiga Patel, lakini pia kikubwa ni Consistency.

NAWASILISHA.
Siku ya 10 hap ni 2M.
Hii challenge naipitisha already accepted.
Kwqnza tukianza na better and safe opt.
Ni kona kwa upande wangu.
Mara nyingi mechi huwa na kona 6 kutoa huwa n uhakika zaidi.
Kona 6 ukiomba kwa match n odd 1.3
Hapo ukiws na match 3 za odds 1.3 tayari odds 2.1
 
Best opt yangu kwa challenge ya odds 2.1 za siku
1)kona ova 5.5 or 6.5 kwa odds 1.3 match 3 sawa na odds 2.1

2)Mechi za usiku mnene hususani america na brasil kuomba GG au ova 1.5 kwa match 3 za huko ni uhakika kupata odds 2.1

3)Mechi za mchana za ligi ya ethiopia na za africa kuzuia goli 3 mfululizo hii opt n mechi 5 inakuwa na odds 2.1 uhakika wa kutoa ni 90%

4)Kubetia basketball winning margin mechi 1 huws ni odds 2 plain.

5)Betting ya basketball points hususani 3 points hii mechi 2 huwa na odds 2.5

6)Kubetia matukio ya world cup maana zimesalia mechi kama 10 mashindano kuisha
Mostly matukio ni
Keper to touch ball odds 1.6
First to happen throw in odds 1.5
SUb to receive card
Sub to score
Head goal
Etc...
 
Sahihi mkuu, na mm nataka tufanye hivyo sure odds 2 au 1.9 kwa hiyo roll over itakuwa unyama sanaa.

Hapa muhimu tuwe na opt za uhakika zaidii.
Tuanze na wewe to,mapendekezo ya opt zako
Mimi nimetoa wazo na nimekupa kazi wewe kutokana na Odds unazoziweka humu nyingi huwa zina-tick hizo Odds 2-5.

Sisi ni wazee wa Odds mlima mostly tunacheza na cashout au ibutue, lakini most of the time Odds zako chache huwa zinatoa, mimi huwa sina interest za hizo Odds kutokana na Stake ninayokuwa nayo.

Sasa kwa niaba ya Wanafamilia tumekupa KAZI ya Rollover kwa kuanza na elf 2 kwa Odds 2 tu in five or 10 days tutoke na huo Mkakati tuone tunafikia wapi.

Mawazo ya wadau pia yatazingatiwa katika kushauri au kuchambua Odds husika, wakiupitisha basi tunapita nao mzee baba.

Unajua kutengeneza 1m+ ndani ya siku 5 au 10 kwa mtaji wa elf 2 sio kitu kidogo bro. LET'S MAKE IT HAPPEN.

I BELIEVE. LET'S GO...!

🔥
 
Mimi naanza na roll ova yangu kwa mfa hai,kama huu hapa
Naweka sh 100 hela bet.
Nikiwa na target ya kufikisha 2M

Nachukua team 1 tu.
Leo naanza na basketball
Ngoja niwwke mkeka wangu hapa
Japo.kesho nitaweka 10K katika hii roll ova
 
Mimi nimetoa wazo na nimekupa kazi wewe kutokana na Odds unazoziweka humu nyingi huwa zina-tick hizo Odds 2-5.

Sisi ni wazee wa Odds mlima mostly tunacheza na cashout au ibutue, lakini most of the time Odds zako chache huwa zinatoa, mimi huwa sina interest za hizo Odds kutokana na Stake ninayokuwa nayo.

Sasa kwa niaba ya Wanafamilia tumekupa KAZI ya Rollover kwa kuanza na elf 2 kwa Odds 2 tu in five or 10 days tutoke na huo Mkakati tuone tunafikia wapi.

Mawazo ya wadau pia yatazingatiwa katika kushauri au kuchambua Odds husika, wakiupitisha basi tunapita nao mzee baba.

Unajua kutengeneza 1m+ ndani ya siku 5 au 10 kwa mtaji wa elf 2 sio kitu kidogo bro. LET'S MAKE IT HAPPEN.

I BELIEVE. LET'S GO...!

🔥
Mkuu, kwa kuongezea naona best app kwa roll ova ni 1xbet na sportbet
Maana hawa wana cashout isje tokea siku tumefikisha 1M afu mjinga 1 anakuja kuunguza na hapo umetumia helabet hakuna ku cash. So napendekeza tutumie 1xbet na sportbet
 
Ni kuanza kwenda na matukio tu, afu tusiweke tamaa mkeka 1 wa roll ova au mkeka 1 wa siku odds 3 au 4.
Yaani tukiwa na spirtiy hii tunatoboaa

Hizi odds kwenye magroup ya watu sherehe sasa sherehe tuhamishie humuu
 
Attachments

  • Screenshot_20260707_012406_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012406_1xBet-tz.jpg
    157.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260707_012344_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012344_1xBet-tz.jpg
    129.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260707_012316_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012316_1xBet-tz.jpg
    133.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260707_012309_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012309_1xBet-tz.jpg
    126.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260707_012258_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012258_1xBet-tz.jpg
    138.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260707_012246_1xBet-tz.jpg
    Screenshot_20260707_012246_1xBet-tz.jpg
    134.7 KB · Views: 19
Mimi nina ma opt mengi sana ambayo huwa yanatema.
Hapa ki,kubwa tupige single match au tubebeshe match 2 au 3 zenye jumla ya odds 2 lakini kikubwa iwe surely 100%
That's what I mean, we only need 2 sure Odds for Rollover of 5 days only for 2000 to get 1m+ for 5 days kama tukiwa na mikeka miwili daily au 10 days tukiwa na mkeka mmoja kwa siku.
 
Odds 11 basketball

Ila roll ova yangu n hiyo mechi ya conective
 
Attachments

  • Screenshot_20260707_013031_Helabet.jpg
    Screenshot_20260707_013031_Helabet.jpg
    151 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260707_013039_Helabet.jpg
    Screenshot_20260707_013039_Helabet.jpg
    158.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom