Kuna muda nilikuwa napost naona win halafu sipati mrejesho so nikahisi wadau itakuwa hawafatilii nika mute hata jana. Niliona hakuna respond.Haina noma sema ulipotea uzi huu ukapoa kishenzi
A
Ila kuna channel 1 niliona wanaisifia snaa kuingia nakuta pigo za odds 1.45 mara 1.6 ikziid sanaa 1.8
Khaa nikasema hizi odds me nazifumua kwenye team 8 huku team 1 mtu anapewa maua?? Ndo nikaamua nije na hiyo plan ya roll ova.