Best opt yangu kwa challenge ya odds 2.1 za siku
1)kona ova 5.5 or 6.5 kwa odds 1.3 match 3 sawa na odds 2.1
2)Mechi za usiku mnene hususani america na brasil kuomba GG au ova 1.5 kwa match 3 za huko ni uhakika kupata odds 2.1
3)Mechi za mchana za ligi ya ethiopia na za africa kuzuia goli 3 mfululizo hii opt n mechi 5 inakuwa na odds 2.1 uhakika wa kutoa ni 90%
4)Kubetia basketball winning margin mechi 1 huws ni odds 2 plain.
5)Betting ya basketball points hususani 3 points hii mechi 2 huwa na odds 2.5
6)Kubetia matukio ya world cup maana zimesalia mechi kama 10 mashindano kuisha
Mostly matukio ni
Keper to touch ball odds 1.6
First to happen throw in odds 1.5
SUb to receive card
Sub to score
Head goal
Etc...
Vyema kabisa...!
Sasa sisi tunachotakiwa kukifanya ni Consistency, TUDUMU. Tusiwe na mambo mengi, just like...!
1. Kwa uhakika wa Corner ni sawa, kutokana na prediction tuliyonayo kwenye mechi husika.
2. Kwa mechi za usiku mnene hususan kwa bara husika kuna wadau wengi watakuwa wameshalala japokuwa pesa haina muda wa kuingia, ila hizo zinakuwa ni Odds za ziada coz kuna Odds 2:1 za Corner ambazo tayari tulishazijadili before, it means kama kuna mtu alipitwa na hizo Odds 2:1 za Corner maana yake ata-join hizi za usiku mnene, it means a lot bro. HAACHWI MTU.
3. Na ndio maana nikasema tujadili hili suala kwa kupeana haya Majukumu, kikubwa ni kupata Only 2 Odds for a Day to Make It Happen, itategemea mtu ata-opt wapi, vile atakavyopenda.
4. Watu wanaojua Basketball ni wachacche sana familia, maana yake ni kwamba, kwenye Basketball utakuwa ni mtu muhimu sana kubeba wadau kwenye Basketball.
5. As the same as Point number 4 bro.
6. Hiyo #6 na mengine yote ya Juu tumekupa KAZI tuifanye na tuifanikishe Fam.