Payboy
New Member
- Feb 17, 2026
- 2
- 0
Ko haya mazungumzo ni ya 2013 au naona vbayaKaribuni tuwekeze katika soko la betting. Iwe Meridian, M-Bet, Ladbrokerz, Iplay8casino n.k.
Ko haya mazungumzo ni ya 2013 au naona vbayaKaribuni tuwekeze katika soko la betting. Iwe Meridian, M-Bet, Ladbrokerz, Iplay8casino n.k.
Angalia Uzi umeanza lini....ndio mwaka huohuo 2013 bwana Rockcity native alianzisha Uzi ...tulikuwa tunabet naye pale premierbet Soko kuu Mwanza na Meridian opposite na Library karibu na Ofisi za TANESCO Mwanza. Sijui alipotelea wapi MWAMBA alipotea tu.Ko haya mazungumzo ni ya 2013 au naona vbaya
Alionekana hapa sijui mwaka juzi akapotea tena ametuacha tunapambana na mshindi anapata kila kona sio poaAngalia Uzi umeanza lini....ndio mwaka huohuo 2013 bwana Rockcity native alianzisha Uzi ...tulikuwa tunabet naye pale premierbet Soko kuu Mwanza na Meridian opposite na Library karibu na Ofisi za TANESCO Mwanza. Sijui alipotelea wapi MWAMBA alipotea tu.
Kabisa. Natafuta odds 2Huyu fuala kaharibu siku ... View attachment 3634020
Ukipata nitaggKabisa. Natafuta odds 2
Hizi leo siachi
Shukrani. Japo sikuweka nilikabwa na majukumu.
Kwenye makampuni ya kubeti ratiba ipo na kwenye tovuti ya epl ipoEPL iv inaanza lini wadau
Bingwa wa Virtual humu jukwaani!💪
We jamaa mungu akupe maisha marefu..
Wengine.hatujui hii kampuni gani?