LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Hii ni kampuni gani?
Hii ni kampuni gani?
Bingwa wa Virtual humu jukwaani!💪
Mimi Ni bingwa wa Code Za Mamilioni!
Iko siku wana watabadili maisha humu kimasihara tu!
Sporty Bet ?
Wengine.hatujui hii kampuni gani?
Then muda mzuri wa kuchukua odda
Galatasary na Vejle mbwa hawa Mungu anawaona wameamua kumpa utamu Kanji 😂😂😂Ndio
Nimeandika hapo SB 😁
Wamecheza lini hao?Galatasary na Vejle mbwa hawa Mungu anawaona wameamua kumpa utamu Kanji 😂😂😂
Ilikuwa 13 milioni Kanji nilikuwa nameudisha kwao akalime pilipili
Nimetia mazima, napumulisha mkeka wako. unaweza ukafanya screening ikawa odds ya 4..Ndio
Nimeandika hapo SB 😁
Jana nadhani galatasaray ilikuwa ni friendly match na MonzaWamecheza lini hao?
i kampuni gani?Kuza Cashout Code
View attachment 3636619
Friendly matches huwa nazikwepa kwa sababu mara nyingi hazitabiriki, hapo ndo kuna majaribio ya wachezaji na mifumo. Leo timu inashinda goli 5, ukimfata mechi inayokuja anafungwa 2Jana nadhani galatasaray ilikuwa ni friendly match na Monza
Vejle naye aka draw na Copenhagen
Mafala sana hawa mamaye zao sijui wamekula ganji kwa Kanji 😂
JITUBETHii ni kampuni gani?
Stake gani hizi jamani? Kutengeneza Adiction kwa stake za 100 mia ni ujuha.SPORTYBET..