Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Hizo odds za Dortmund naziangalia kwa wivu mkubwa
🤣🤣 balaaa mkuu Dortmund hatakama friend match ndio asipate hata goli an vumbi tupuNi vichapo kwenda mbele, mpaka kichwa kinalia nziiii.
1: Mkeka ukichana halafu usirebet, mechi zilizobaki zinawin, na ukirebet, mechi zilizobaki zinachana.
2: Unavutiwa na results za ligi fulani, unajisemea "hii ligi kwa GG ni noma, mechi zote leo zimetoa GG, kesho nachukua mechi moja tu naweka mzigo".
Kesho yake mechi ambazo hukuweka zinatoa GG, uliyoweka ndiyo inachana.
Ndiyo starehe tuliyoichagua, mpaka vichwa vibasti.
Inawezekana tu mkuu maana kama Dortmund leo amekalia moja kwisha habariMechi za kirafiki unaweka under? Haupo siriaz
Joanah Hongera Naomba Niforcie Hata 5k Tafadhali Sina Maisha Leo
Joanah Usi😄 Niko ReallyJoanah Hongera Naomba Niforcie Hata 5k Tafadhali Sina Maisha Leo
Joanah Hongera Naomba Niforcie Hata 5k Tafadhali Sina Maisha Leo
SinaHuna maisha ya kubet?