Sasa10
Member
- Mar 12, 2026
- 20
- 46
Hizi hapa mkuu 👇Hapo inaonyesha ulicheza game 9. Hizo nyingine ni zipi?
Hizi hapa mkuu 👇Hapo inaonyesha ulicheza game 9. Hizo nyingine ni zipi?
natamani kupotea mtu mmoja ajitolee kunifundisha jinsi ya kubet
Hii hapaAise nina mda sana sijala hela ya mhindi Pdidy leta code MFALME WETU
Nawaza niwe natafuta kila siku 1.2 naweka 200k napata 40k
kabila linaingiaje hapo sasa🤔,, ni mjaluoNjoo nikufundushe
Ila hakikisha najua kwanza KABILA lako
Kama
Muhehe
MUHA
Mkurya
Hapana
Kuna makabila akiliwa pesa nyingi ana JINYONGAkabila linaingiaje hapo sasa🤔,, ni mjaluo
sawa tuanze kazi sasKuna makabila akiliwa pesa nyingi ana JINYONGA
Sasa Kesi ya mauwaji ngum sana,Wakili wangu yupo kwenye Kesi ya TUNDU LISU
Kazi iendelee bila kuchokaUyu mbuzi kanikosesha 87000 janaView attachment 3642934
Apunguze makasiriko 🤣🤣Betting sio Maisha ya kutegemea sana
Sasa hao waliokuwa wakiweka mikeka ilivyokuwa inatiki yote,sasa sinuliishapata pesa kipindi hicho?
Kama ukipata wekeza sasa kwenye majumba,maduka nk Ili uondokane na kutegemea KAMARI
Ila kama hao unaowataja hukufaudia nao na kutengeneza mustakabal wa Maisha Yako basi jua zama zao zimekupita ukiwa hujielewi
Hakuna Sure ODDS,na makasiriko ya kupoteza pesa kwa KAMARI hayaachagu mtu na Akili Sawa
Tunakuvumilia tu ndugu yetu ila familia ikikuwahi utapona
Chukua na huu Mkeka basi upunguze makasiriko
ODDS : 5
CODE: 5JU4DY
View attachment 3642970
Kabisa mkuuKazi iendelee bila kuchoka
Haaaa wahaKuna makabila akiliwa pesa nyingi ana JINYONGA
Sasa Kesi ya mauwaji ngum sana,Wakili wangu yupo kwenye Kesi ya TUNDU LISU
Kwa hiyo waha hatumokabila linaingiaje hapo sasa🤔,, ni mjaluo
mmetengwaKwa hiyo waha hatumo