🤣🤣🤣Kwamba ungeweka laki yangekuwa mengineView attachment 3641948Stake kijiko kula rahisi sana
Ukishakuwa na mpango wa kuweka stake kubwa akili inavuruguka kabisa. Katika mechi 100 unatafuta angalau yenye odds 1.25 na hupati unakuja kuangukia pua yaani ni kama ulichagua mechi ya kuliwa.🤣🤣🤣Kwamba ungeweka laki yangekuwa mengine
🤣🤣🤣 Hakika Mkuu unapagawa mechi kibao lakini hata kupata odds 1.5 yenye nafuu unakosa unapunwa tuUkishakuwa na mpango wa kuweka stake kubwa akili inavuruguka kabisa. Katika mechi 100 unatafuta angalau yenye odds 1.25 na hupati unakuja kuangukia pua yaani ni kama ulichagua mechi ya kuliwa.
Acha kabisaDuuuh ila mikeka ya humu inachekesha sana.