aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Option zote ni nyepesi na option zote ni ngumuNi mwendo wa coner na option zingine nyepesi ila siyo direct win wala double chance
Option zote ni nyepesi na option zote ni ngumuNi mwendo wa coner na option zingine nyepesi ila siyo direct win wala double chance
Naunga mkono hojaOption zote ni nyepesi na option zote ni ngumu
Naona magori mengi na corner nyingi maana arsenal ni wazee wa corner sanaTimu zote ziko kwenye perfomance nzuri.
naipa BTTS. FT 1-1.
Penati zitaamua mshindi.
Oyaa ni kampuni gani hio nijisajili na nitumie code ya huo mkeka nistake sasa hivi maama tumeshachoka na mikeka ya kipuuzi ya kina JITU BANDIA na shoga linaloitwa Governor of Bettors-GB yani ni mavi matupu.View attachment 3651683
Wawekezaji kwema.... Nimekutana na hili chaguo nimeamua kulifanyia tafiti. chaguo ni BOTH HALVES TO BE WON BY DIFFERENT TEAMS (KILA KIPINDI TIMU TOFAUTI ISHINDE)
Ukisema YES ( maana yake kipindi Cha kwanza ISHINDE timu A na kipindi Cha pili ISHINDE timu B ndio utakuwa umewin) na ukisema NO ( Ni kwamba timu kwamba una faida mbili kwanza sare kipindi chochote umewin na mbili ni timu itayoshinda Cha kwanza ISHINDE Cha pili pia ama itoe sare).
Kazi njema.
Kampuni za mrusi izo 1xbet wanayoOyaa ni kampuni gani hio nijisajili na nitumie code ya huo mkeka nistake sasa hivi maama tumeshachoka na mikeka ya kipuuzi ya kina JITU BANDIA na shoga linaloitwa Governor of Bettors-GB yani ni mavi matupu.
Naitumiaga hii option ila mrusi kaweka kwa baadhi ya gameView attachment 3651683
Wawekezaji kwema.... Nimekutana na hili chaguo nimeamua kulifanyia tafiti. chaguo ni BOTH HALVES TO BE WON BY DIFFERENT TEAMS (KILA KIPINDI TIMU TOFAUTI ISHINDE)
Ukisema YES ( maana yake kipindi Cha kwanza ISHINDE timu A na kipindi Cha pili ISHINDE timu B ndio utakuwa umewin) na ukisema NO ( Ni kwamba timu kwamba una faida mbili kwanza sare kipindi chochote umewin na mbili ni timu itayoshinda Cha kwanza ISHINDE Cha pili pia ama itoe sare).
Kazi njema.
Fansport... Kama 1xbet ...Wako poa sana... Unaweka na kutoa tofauti na 1xbet mpaka wakala.Oyaa ni kampuni gani hio nijisajili na nitumie code ya huo mkeka nistake sasa hivi maama tumeshachoka na mikeka ya kipuuzi ya kina JITU BANDIA na shoga linaloitwa Governor of Bettors-GB yani ni mavi matupu.
Fansport kaachia .... Hapo nimetest mechi 36 za leo.Naitumiaga hii option ila mrusi kaweka kwa baadhi ya game
Ww ni mgeni wa 1xbet saiv kama local bet zingine unafanya mwenyewe transaction bila kupitia wakala kwenye kutoa ndo wanaanzia 5000 chini ya hapo uwezi kuwithdrow ila kuweka fresh unaweka chini ya hapoFansport... Kama 1xbet ...Wako poa sana... Unaweka na kutoa tofauti na 1xbet mpaka wakala.
Hapo iyo option inamaana wote wasifungane vipindi vyote je kama mmoja atashinda pekeake vipindi vyoteFansport kaachia .... Hapo nimetest mechi 36 za leo.
Kikubwa ni kuchagua zile mechi za mtu kushinda kwa asilimia Kubwa ni mara chache kuwa na mshindi tofauti vipindi vyote viwili.
Hapo iyo option inamaana wote wasifungane vipindi vyote je kama mmoja atashinda pekeake vipindi vyote
Sasa unaniambia Mimi mgeni kweli !?? Nnaweza kuwa nilikuwa nna akaunti hata shule haujamaliza .....Umenikosea adabu...Ww ni mgeni wa 1xbet saiv kama local bet zingine unafanya mwenyewe transaction bila kupitia wakala kwenye kutoa ndo wanaanzia 5000 chini ya hapo uwezi kuwithdrow ila kuweka fresh unaweka chini ya hapo
Acha ubishi basi uliza watu humu wakufaamishe saiv hupitii kwa wakala kama zamani mzee mimi nipo kwenye bet tangia 2011 enzi izoSasa unaniambia Mimi mgeni kweli !?? Nnaweza kuwa nilikuwa nna akaunti hata shule haujamaliza .....Umenikosea adabu...