kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
🔥🔥boom6ZXNXY...SportyBet
🔥🔥boom6ZXNXY...SportyBet
sheikh, 1xbet mitandao ya simu ipo tunatumia kila sikuFansport... Kama 1xbet ...Wako poa sana... Unaweka na kutoa tofauti na 1xbet mpaka wakala.
Bora umekuja kaka uwaelimishe maana wajuaji sana ukiwambia ukweli watakwambia wameanza kubet tangia 2003sheikh,View attachment 3652090 1xbet mitandao sio hiyo hapo tunatumia kila siku
Ila mpaka leo hujawahi kula mamilioni ya mhindi unaganga njaa kama mimi tu.Tulikuwa tukibet kuanzia 500 kama sikosei...betting hii hii ya mpira, matokeo matatu tu! Home Win, away win or draw...hakukuwa na magoli...
Mimi maskani ni maeneo fulani hapo Mombasa,madafu,mzambarauni mpaka goms ...kote tulikuwa tukibet kwenye hizo mashine za kutoa slip za Premier Bet...na kote huko nilikokutajia zilikuwepo
Kipindi naachana nao ilikuwa miaka kadhaa nyuma...sheikh, 1xbet mitandao ya simu ipo tunatumia kila siku
Napinga kwa ilo ingia hata kwenye website ya iyo premierbet uone huo mwaka uliosema kama walishakuwa bongo acha kudanganya watu
Kwa taarifa yako Mimi Sibeti kutafuta hela ya kula humu....ulishawahi niona nakomaaa odd2 humu, ama naomba odd 2...betting kwangu ni kama hobi tu...Ila mpaka leo hujawahi kula mamilioni ya mhindi unaganga njaa kama mimi tu.
Boom🔥🔥5E7ENZ...sportybet
Kauli za kujifariji hizo kama unataka burudani hiyo hela kanywee bia unabet tangu 2003 mpaka leo? muhindi kakufirimba vya kutosha.Kwa taarifa yako Mimi Sibeti kutafuta hela ya kula humu....ulishawahi niona nakomaaa odd2 humu, ama naomba odd 2...betting kwangu ni kama hobi tu...
Na kwa taarifa yako tu...ktk kipato changu....kwa wiki huwa natenga 30k kwaajili ya kamari....kama unasubiri kamari ikubadilishie maisha...utasubiri sana mkuu...endelea kujaribu kuza Cashout code
siku hizi wana payment method za mobile na bank ukiachana na mawakala. mfano mimi nikitaka kudeposit huwa natumia bank maana sikatwi hata mia. kwenye kutoa natumia njia yoyote inakubali tu.Kipindi naachana nao ilikuwa miaka kadhaa nyuma...
Tutolee taarifa zako za kufirimbana humu, tunataka mikeka, mkafirimbane mbele huko!Kauli za kujifariji hizo kama unataka burudani hiyo hela kanywee bia unabet tangu 2003 mpaka leo? muhindi kakufirimba vya kutosha.
Acha umama ww tafuta jukwaa lako la wasiokuwa na malinda waimba taarabu kwaiyo unataka kila akishinda akwambie ww kama nani kama huna hela yakula wenga namba hapa tukutumieKauli za kujifariji hizo kama unataka burudani hiyo hela kanywee bia unabet tangu 2003 mpaka leo? muhindi kakufirimba vya kutosha.
Naona upo na upepo vp huna code ya 1xbetBoom🔥🔥
Nimechunguza huyu atakuwa mchele sasa pilipili ipo shamba yeye inamwashia nn kavamia jukwaa aweke namba ya simu tumpe hela ya kula maana naona anatamani sana hela zawanaume wenzakeKwa taarifa yako Mimi Sibeti kutafuta hela ya kula humu....ulishawahi niona nakomaaa odd2 humu, ama naomba odd 2...betting kwangu ni kama hobi tu...
Na kwa taarifa yako tu...ktk kipato changu....kwa wiki huwa natenga 30k kwaajili ya kamari....kama unasubiri kamari ikubadilishie maisha...utasubiri sana mkuu...endelea kujaribu kuza Cashout code
Nimeona pia kwenye kampuni ya mrusi kuna option ya yellow card before sub naona inatoa sanaKipindi naachana nao ilikuwa miaka kadhaa nyuma...