Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ww ni mgeni wa 1xbet saiv kama local bet zingine unafanya mwenyewe transaction bila kupitia wakala kwenye kutoa ndo wanaanzia 5000 chini ya hapo uwezi kuwithdrow ila kuweka fresh unaweka chini ya hapo
Airtel kuanzia 2000 unatoa
Screenshot_20260818-222223_1xBet.jpg
 
Hii app jau. Yaani mpaka uanzs upya kusoma vipya na uzi ni mrefu
Karibu New Comer

Uwe na adabu ukiingia page za wakubwa,unaamka kwanza Ili uelekezwe sio kuanza na kichambo

Hapo bado hujaanza kula kichapo cha Muhindi si NDIO utavurugwa kabisa

Bonyeza next Ili upate page inayofuata au bonyeza vile vi mishale viwili<< kuanza page ya MWANZA au mishale ya mbele kuingia page mpya recent news

Halafu KARIBU

Anzia hapa

ODDS : 6
CODE: 63UGHL
Tuonane Usiku

Screenshot_20260819-002246.png
 
View attachment 3652919
Kwamba yeye anaanza mwanzoni kabisaaa Page ya kwanza hata Mimi nilishangaa,,akipigwa na kanji ndio wenge litazidi
 
Wawekezaji wenzangu mkeka wangu zilibaki game tano wamegaili game ya Celtics, Rangers na Victoria plizern nakula mil 22 wanaweza kata sh ngapi apo imebqki atretico na inter Miami .
 
Wawekezaji wenzangu mkeka wangu zilibaki game tano wamegaili game ya Celtics, Rangers na Victoria plizern nakula mil 22 wanaweza kata sh ngapi apo imebqki atretico na inter Miami .
Hizo game zilizokuwa postponed zina odds ngapi ngapi kila moja, stake ilikuwa sh ngapi, payout ilisoma sh ngapi?... weka hizo data hapa nikwambie utapewa kiasi gani.
 
Wawekezaji wenzangu mkeka wangu zilibaki game tano wamegaili game ya Celtics, Rangers na Victoria plizern nakula mil 22 wanaweza kata sh ngapi apo imebqki atretico na inter Miami .
odds za (Celtics x Rangers x Victoria plizern X STAKE) =.........................
22,000,000-jibu ulilopta hapo juu.

Njia ya pili unachukua stake unazidisha kwa mecji zilizochezwa tu
 
View attachment 3652377deportivo na gijon za Jana zimetoa.... Zimebaki hizo.... Maana yake ni odds 1.9...
Wale wa odds Jux stake Kobis hapa ndio penyewe .. mechi mbili tu una odds 1.9 .... Wale wa roll over chaka hilo....
Mnaukumbuka huu mkeka ..... Zote zimetoa... Zimebaki nne za Leo.... Mechi ya Celtic imehairishishwa.
 
Back
Top Bottom