Haya mambo hayatabiriki mkuu.Woga wako umasikini wako. mechi ya simba jana niliangalia ilikuwa na odds 4.55 simba apate goli 2 1H, nikaogopa.
Mimi nilimpa cape ya 1goal.
Japo nilibetia ki shabiki
Haya mambo hayatabiriki mkuu.Woga wako umasikini wako. mechi ya simba jana niliangalia ilikuwa na odds 4.55 simba apate goli 2 1H, nikaogopa.
Kuna mikeka ukiangalia unaona kabisa hela hii hapa.Live ya kujitoa mhanga kumdhamini simbaView attachment 3653298
Niliicheki jana simba kupata goli 2 kipindi cha kwanza alikuwa na odds 4.5 ila nilikuwa mazingira mbovu ningekuwa nishafunga hesabu sasa hivi.Kuna mikeka ukiangalia unaona kabisa hela hii hapa.
Huu mkeka umepiga hongera bhna.
KAma simba hawatarudia ujinga wa msimu uliopita wa kuridhika basi wanaweza score tena
Zenit naye atatoa.
Sijajua kwann hii mechi ya simba muhindi kamfanya dhaifu sana simba
Galatasalai mzee wa kuharibu shughuli.View attachment 3653300
Odds 26 za wivu MKALI sanaaaaaa.....
6431C7View attachment 3653300
Odds 26 za wivu MKALI sanaaaaaa.....
Ukiupiga brashi Mzee ulete jukwaani Mzee baba.. weekend tukakemee uzee.Galatasalai mzee wa kuharibu shughuli.
nGoja niupige pasii ni sake odds 10 za kula bata weeknd
Yeah no risk no returnWoga wako umasikini wako. mechi ya simba jana niliangalia ilikuwa na odds 4.55 simba apate goli 2 1H, nikaogopa.
518N2NView attachment 3653300
Odds 26 za wivu MKALI sanaaaaaa.....
669G7HView attachment 3653300
Odds 26 za wivu MKALI sanaaaaaa.....
Daah betting sijuhi ipojeLive ya kujitoa mhanga kumdhamini simbaView attachment 3653298
Noma sana ... Si Simba si Zenith.. woteDaah betting sijuhi ipoje
Oyaa mkeka wetu uwe wa goal 1 tu kwa giants wote suka tren la aina hiyoNoma sana ... Si Simba si Zenith.. wote
Mkeka kabla unashawishi baada unaanza kuzingua.View attachment 3653368
Tulipitie mazee tupate odds nzuri .....
Oyaa mkeka wetu uwe wa goal 1 tu kwa giants wote suka tren la aina hiyo