Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

share_image_0_1787133309330.jpeg
 
Wawekezaji wenzangu mkeka wangu zilibaki game tano wamegaili game ya Celtics, Rangers na Victoria plizern nakula mil 22 wanaweza kata sh ngapi apo imebqki atretico na inter Miami .
Umeambiwa weka Data watu wakupe calculation 😂😂😂

Au NDIO muwekezaji mwezi umejiongeza kwa style ya zamani
 
Muhindi anatamani kujamba kmmke
 

Attachments

  • Screenshot_20260819_150521_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260819_150521_SportyBet.jpg
    15.9 KB · Views: 14
Napinga kwa ilo ingia hata kwenye website ya iyo premierbet uone huo mwaka uliosema kama walishakuwa bongo acha kudanganya watu
Labda aseme 2013 ila siyo 2003.
Maana binafsi nimeanza kuona premier betting 2010/11 hivi kuja 2013 ndiyo ikashika hatamu kila mahali wakawa na vijiwe vyao..

Yeye anasema kaanza betting 2003???🤣🤣🤣
 
Ligi zianze.
Weekends hii ma giants wote nimewapa directly win.

Na zile big mechi nimetupia ova 2.5
Apps za mrusi ile opt ya Over in min naona ipo vzr

ndege JOHN opt ya kona jana nimejaribu inafanya kazi sema kwa uwekezaji maana odds zake chache sanaa.
Mechi 10 inakupa odds 4
 
Back
Top Bottom