Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Endelea kuleta ujuaji...Sasa unachosema "WASIFUNGANE VIPINDI VYOTE " una maanisha Nini maana hilo soko la WASIFUNGANE VIPINDI VYOTE LIPO... Angalia attachment... Kijana msivagae machaguo hamjui halafu mnalalamika mhindi anawaibia ....Hapo iyo option inamaana wote wasifungane vipindi vyote je kama mmoja atashinda pekeake vipindi vyote
Sasa unajua nilikuwa huko 1xbet tangu lini!?? .... Mzee fanya hivi.... Wewe bingwaAcha ubishi basi uliza watu humu wakufaamishe saiv hupitii kwa wakala kama zamani mzee mimi nipo kwenye bet tangia 2011 enzi izo
Inashangaza mkuu, tumeanza kubet toka 2003 tukiwa secondary na premier bet, kabla hata hawajazaliwa....then watoto wadogo wanatukosea heshima...huwa naangalia tu nakausha!Sasa unaniambia Mimi mgeni kweli !?? Nnaweza kuwa nilikuwa nna akaunti hata shule haujamaliza .....Umenikosea adabu...
Hivi kumbe betting ipo Bongo Tangu 2003 ? Mi nimeijua 2014, nimeanza kucheza 2017.Inashangaza mkuu, tumeanza kubet toka 2003 tukiwa secondary na premier bet, kabla hata hawajazaliwa....then watoto wadogo wanatukosea heshima...huwa naangalia tu nakausha!
Mf. Unamuwekea humu mtu mkeka wa Tsh 100/- umeuandika kabisa KUZA CASHOUT CODE! Payout inasoma mil 130+ ...
Jitu linaweka 5000, linaliwa then linakuja kumlaumu @Jitubandia !... hilo jitu liko serious kweli?
Lini humu nimeweka mkeka wa odds 5 au 10?...na still niko kwenye game...jitu hata halitumii akili!
Kukuwekea timu nyingi kwenye mkeka(The elites, A list teams...) nakurahisishia wewe kufanya uchambuzi!... NA SIO NIKUSUKIE CODE YA ODDS 3 WEWE ULE!
Nb: Matak..o yako titanic 7
Premier Bet ndio baba lao miaka hiyo na Meridian.Hivi kumbe betting ipo Bongo Tangu 2003 ? Mi nimeijua 2014, nimeanza kucheza 2017.
Mtoto wa nzi nitumie code ya huo mkeka nataka niruke nao kama ulivyo maana jana nilipokea kichapo kitakatifu .......kampuni umeshasema ni fansport bado tu code ya huo mkeka.
2011/12/13 hapo ndio premierbet aliingiza mtaani vimashine vyake ndio kusambaa sana ila kubet kitambo sana ndugu.,Hivi kumbe betting ipo Bongo Tangu 2003 ? Mi nimeijua 2014, nimeanza kucheza 2017.
Miaka iyo 2003 anayosema jitubandia ilikuwa ni bet ya kwenye makasino kule posta nasizani kama alikuwa anacheza kule maana dau lake kubwa mtaani lasmi ilikuwa 2011Hivi kumbe betting ipo Bongo Tangu 2003 ? Mi nimeijua 2014, nimeanza kucheza 2017.
Premier Bet nimeanza kubet kwenye mashine zao tangu 2003 mkuu! Nikiwa secondary...2011/12/13 hapo ndio premierbet aliingiza mtaani vimashine vyake ndio kusambaa sana ila kubet kitambo sana ndugu.,
Tulikuwa tukibet kuanzia 500 kama sikosei...betting hii hii ya mpira, matokeo matatu tu! Home Win, away win or draw...hakukuwa na magoli...Miaka iyo 2003 anayosema jitubandia ilikuwa ni bet ya kwenye makasino kule posta nasizani kama alikuwa anacheza kule maana dau lake kubwa mtaani lasmi ilikuwa 2011
Napinga kwa ilo ingia hata kwenye website ya iyo premierbet uone huo mwaka uliosema kama walishakuwa bongo acha kudanganya watuTulikuwa tukibet kuanzia 500 kama sikosei...betting hii hii ya mpira, matokeo matatu tu! Home Win, away win or draw...hakukuwa na magoli...
Mimi maskani ni maeneo fulani hapo Mombasa,madafu,mzambarauni mpaka goms ...kote tulikuwa tukibet kwenye hizo mashine za kutoa slip za Premier Bet...na kote huko nilikokutajia zilikuwepo
Hawakuwa hata na website kipindi hicho, ukila mpunga ambao wakala hana unaenda dirishani kkoo... pengine ulikuwa hujazaliwa! Ama hukuwa umefika dar kipindi hicho...siwezi kukulaumuNapinga kwa ilo ingia hata kwenye website ya iyo premierbet uone huo mwaka uliosema kama walishakuwa bongo acha kudanganya watu
🤣🤣Sasa chief nimezaliwa manzese mtaa wa chidele pale huo mwaka wako unaosema 2003 ndo imeanzishwa iyo premierbet huko kwenu mombasa gongolamboto polini kabisa nilikuwa nafuata mapensheni ya kununua huko pugu kipindi icho acha ujuaji mzee premierbet haikuanzishwa mwaka huo nishabet sana kupigia mashine za mkono enzi izo ila ilikuwa 2011 ila siyo mwaka huo 2003 ungesema ulikuwa unabet kwenye makasino kwa mwaka huo hapo sawa ningekubaliHawakuwa hata na website kipindi hicho, ukila mpunga ambao wakala hana unaenda dirishani kkoo... pengine ulikuwa hujazaliwa! Ama hukuwa umefika dar kipindi hicho...siwezi kukulaumu
Kwa akili yako kuzaliwa manzese ama buguruni ndio ujanja na kujua vitu?... 2011 uliyoijua wewe betting mimi nna miaka mitano niko kwenye payroll...🤣🤣Sasa chief nimezaliwa manzese mtaa wa chidele pale huo mwaka wako unaosema 2003 ndo imeanzishwa iyo premierbet huko kwenu mombasa gongolamboto polini kabisa nilikuwa nafuata mapensheni ya kununua huko pugu kipindi icho acha ujuaji mzee premierbet haikuanzishwa mwaka huo nishabet sana kupigia mashine za mkono enzi izo ila ilikuwa 2011 ila siyo mwaka huo 2003 ungesema ulikuwa unabet kwenye makasino kwa mwaka huo hapo sawa ningekubali
Changamsha kijiwe maana kilikuwa kimepoa watu wapo kimya hakuna code bora tusikie kamba zako🤣🤣Kwa akili yako kuzaliwa manzese ama buguruni ndio ujanja na kujua vitu?... 2011 uliyoijua wewe betting mimi nna miaka mitano niko kwenye payroll...
2003 nabet nikiwa seco unakataa? Uliza kaka zako watakuambia ukweli, pengine ulikuwa unanyonya!.
🤣🤣Sasa chief nimezaliwa manzese mtaa wa chidele pale huo mwaka wako unaosema 2003 ndo imeanzishwa iyo premierbet huko kwenu mombasa gongolamboto polini kabisa nilikuwa nafuata mapensheni ya kununua huko pugu kipindi icho acha ujuaji mzee premierbet haikuanzishwa mwaka huo nishabet sana kupigia mashine za mkono enzi izo ila ilikuwa 2011 ila siyo mwaka huo 2003 ungesema ulikuwa unabet kwenye makasino kwa mwaka huo hapo sawa ningekubali
Itoshe kusema hii mechi imetoa GG na iishe wakuuKwa akili yako kuzaliwa manzese ama buguruni ndio ujanja na kujua vitu?... 2011 uliyoijua wewe betting mimi nna miaka mitano niko kwenye payroll...
2003 nabet nikiwa seco unakataa? Uliza kaka zako watakuambia ukweli, pengine ulikuwa unanyonya!.